Kikwete: A Failure in Leadership - National Vision and Dream Defaulted

To agigate for change is the simplest of the tasks. Getting the appropriate replacement that meets the peoples' expectation is what constitutes your weakness in all your articles.

I am not convinced that those that you and the rest of your admirers quietly front are credible and have what it takes to take the mantle! Some of the criticism is harsh, unfair and at times bordering on mob justice in the personality of the president! It is my personal conviction that emotions and inciting people can never be the qualification of a leader who can tackle the challenges that you feel are well beyond the capacity of the current leadership.

The the long and short of it is that the current opposition is far more myopic, populist and emotional to be given the baton of power.

Mbopo,

It's good to see optimistic people like you.Some of you reflect a big fraction of those Enemies of Tanzania within our borders.They hates the truth And will fight tooth and nail to live in denial with the excuse that "you are not patriotic enough". The mental and psychological decay in Tanzania is unbelievable. Future generations have been scared beyond belief

It seems you do not understand what a dire situation is.Rhetorics aside,Where are we heading as a Nation?
 
To agigate for change is the simplest of the tasks. Getting the appropriate replacement that meets the peoples' expectation is what constitutes your weakness in all your articles.

I am not convinced that those that you and the rest of your admirers quietly front are credible and have what it takes to take the mantle! Some of the criticism is harsh, unfair and at times bordering on mob justice in the personality of the president! It is my personal conviction that emotions and inciting people can never be the qualification of a leader who can tackle the challenges that you feel are well beyond the capacity of the current leadership.

The the long and short of it is that the current opposition is far more myopic, populist and emotional to be given the baton of power.
It is wrong and imprudent thinking an opponent has no novel and constructive ideas. You may wish to learn from your enemy.
 
Wakati wa utawala wa Mkapa (zama za uwazi na ukweli) ambazo zilipelekea mikataba ya hovyo na wizi mkubwa wa mali za umma, kulikuwa na vision ya umaskini wa tanzania kuisha by 2025. Wakati huu tuliona progress ya hali ya juu katika maendeleo ya kiuchumi ya nchi yetu.

Mkapa alichukua nchi ikiwa ni moja kati ya nchi saba maskini zaidi duniani (Yaani nchi ya saba kwa umaskini duniani). Akaipandisha hadi kuitoa kwenye nchi kumi maskini zaidi duniani na kuifikisha hatua ya kuwa nchi ya 32 kwa umaskini duniani (kutoka ya saba). Huyu bwana mtizamo wake daima ulikuwa ni kuhakikisha nchi inaondokana na umaskini kwa namna yoyote ile hata kama ni kwa kuingia mikataba inayoitia hasara nchi. Alichokuwa anajali ni outcome inayoweza kupatikana kwa haraka kuweza kunusuru hali ya nchi.

Matunda ya mikakati hii sote tuliyaona, ikiwemo ujenzi wa ukumbi wa kisasa wa bunge, ujenzi wa miundombinu ya barabara kila mahali nchini (iliyompa sifa magufuli), ujenzi wa uwanja wa taifa. Kuibuliwa kwa mikakati ya elimu kama vile MMEM na MMES. Pia mikakati ya maendeleo kama Vile MKUKUTA na MKURABITA. Wakati wa MMEM hakuna mwananchi aliyechangishwa kwa ajili ya kujenga nyumba za walimu wala madarasa. Tofauti na ilivyokuwa wakati wa utekelezaji wa MMES chini ya kamanda Lowassa.

Kinachosikitisha ni kwamba tangu aingie Kikwete mikakati yote aliyokuwa nayo Mkapa aliizika na kuisahau kabisa. Angalau alijitahidi tu kutekeleza ule wa MMES chini ya kamanda Lowassa. Lakini tangu ameondoka Lowassa, Kikwete amejipigapiga na kilimo kwanza, mpango ambao umekufa kabla ya kuanza. Ambapo hata wanajeshi wametumika kufisadi Powertiller za wakulima.

Kiujumla sasa hivi nchi inaongozwa na bora liende tu. Hakuna vision, strategic plans wala sera ya nchi. Anachojali Kikwete ni kuandika historia ya kwamba aliwahi kuwa Rais wa Tanzania. Tuna Rais ambaye hana impact kwa taifa.
 
Ukishiba wakumbuke wenye njaa, Mkapa hata kama alikuwa anakula lakini still aliwakumbuka sana wanachi wake,
Unakumbuka alivyotunisha msuli dhidi ya nauli za daladala??akasema '' kama wenye daladala mkipandisha bei yawekeni kando magari yenu na sisi tutajua wapi pa kuyapata mengine''. Unakumbuka alivyowapigia bit wafanyabiashara??
Hakutaka Ikulu iwe pango la walanguzi, na hii wote tuliiona, tofauti na kipindi hiki ambacho hata ukivaa mlegezo Ikulu unatia timu.

Mkapa aliikuta hazina iko empy, shilingi haina thamani, leo hii M.kwere kakuta asali na maziwa hazina akaasema YES, hapa
ndo palaji, katumbua na still kafumba macho, na nahisi hazina itakuwa empy within few yrs. na Rais ajae inabidi awe mkali
awafunge walanguzi na wezi wote waliotufikisha hapa. Vision ya Kikwete ni safari nyingi za nje ya nchi. Safari za ndani zilishamshinda, si unakumbuka alivyodumaa kipindi kile cha kampeni. Sasa jiulize mapaka leo hajafanya ziara yoyote
kuwashukuru wapiga kura wake, yeye na ulaya, ulaya na yeye.

Anakula kavimbiwa hadi wenzake anawasahau. Huyu ndye JK. Na nimesikia TANESCO kwamba sasa hali ni mbaya after few months machine za umeme zitakuwa ''OFF'' na tanesco wasilaumiwe.
 
Inatia uchungu sana!! Nyerere alishatulemaza. Nilisikia hasira sana wakati wa majibu yake ya BBC. Eti kuanzia 2009 hadi 2011 atakuwa ameongeza MW 300. Huyu mtu alikuwepo madarakani tangu 2005, na alikuta kuna tatizo la umeme. Kwanini hakuanza tangu wakati huo kama alivyofanya mwenzie mkapa aliyeingia na strategy za ujenzi wa kihansi, songosongo na IPTL? Yeye alikuwa anafanya nini kwa miaka yote hii aliyokaa madarakani hadi aanze kutoa majibu rahisi hivyo leo? Kwanini watu kama hawa wasingekuwa wanajiuzulu jamani? Mbona wanaleta kiwingu sana kwa nchi yetu?
 
Wakati wa utawala wa Mkapa (zama za uwazi na ukweli) ambazo zilipelekea mikataba ya hovyo na wizi mkubwa wa mali za umma, kulikuwa na vision ya umaskini wa tanzania kuisha by 2025. Wakati huu tuliona progress ya hali ya juu katika maendeleo ya kiuchumi ya nchi yetu.

Mkapa alichukua nchi ikiwa ni moja kati ya nchi saba maskini zaidi duniani (Yaani nchi ya saba kwa umaskini duniani). Akaipandisha hadi kuitoa kwenye nchi kumi maskini zaidi duniani na kuifikisha hatua ya kuwa nchi ya 32 kwa umaskini duniani (kutoka ya saba). Huyu bwana mtizamo wake daima ulikuwa ni kuhakikisha nchi inaondokana na umaskini kwa namna yoyote ile hata kama ni kwa kuingia mikataba inayoitia hasara nchi. Alichokuwa anajali ni outcome inayoweza kupatikana kwa haraka kuweza kunusuru hali ya nchi.

Matunda ya mikakati hii sote tuliyaona, ikiwemo ujenzi wa ukumbi wa kisasa wa bunge, ujenzi wa miundombinu ya barabara kila mahali nchini (iliyompa sifa magufuli), ujenzi wa uwanja wa taifa. Kuibuliwa kwa mikakati ya elimu kama vile MMEM na MMES. Pia mikakati ya maendeleo kama Vile MKUKUTA na MKURABITA. Wakati wa MMEM hakuna mwananchi aliyechangishwa kwa ajili ya kujenga nyumba za walimu wala madarasa. Tofauti na ilivyokuwa wakati wa utekelezaji wa MMES chini ya kamanda Lowassa.

Kinachosikitisha ni kwamba tangu aingie Kikwete mikakati yote aliyokuwa nayo Mkapa aliizika na kuisahau kabisa. Angalau alijitahidi tu kutekeleza ule wa MMES chini ya kamanda Lowassa. Lakini tangu ameondoka Lowassa, Kikwete amejipigapiga na kilimo kwanza, mpango ambao umekufa kabla ya kuanza. Ambapo hata wanajeshi wametumika kufisadi Powertiller za wakulima.

Kiujumla sasa hivi nchi inaongozwa na bora liende tu. Hakuna vision, strategic plans wala sera ya nchi. Anachojali Kikwete ni kuandika historia ya kwamba aliwahi kuwa Rais wa Tanzania. Tuna Rais ambaye hana impact kwa taifa.
Does not need someone to be a member of CDM to know this. Hata kama mtu ni mkereketwa wa CCM hili lazima alijuwe......... SI UNAONA JINSI WANAVYOONANA MAGAMBA SIKU HIZI..??? Zamani (na hadi sasa huko mahakamani), mtu anafungwa au anahukumiwa kwa kukutwa na hatia.......... LAKINI SIKU HIZI WANAITANA MAGAMBA KWA TUHUMA.............. kila mmoja anahofu ya kumtaja mwenzie.......
 
watanzania tulio wengi ni kweli tunaishi bila vision kwa vile hatuna resources za kussuport hizo vision/plans. Lakini kwa case ya rais nadhani sio sahihi pia kuamka asubuhi akisikilizia au kushauriana na mkewe (kama alivyosemaga Mwalimu) alafu ndio aamue, kwa maana budget ya nchi inaallocate resources nyingi sana (human, magari, pesa nk) na hata pesa zikiisha wanaita mabalozi kutuonea huruma na kutupa 'budget support'. Angalia hata pesa za kukarabati pale ikulu (na Msoga) zilivyo nyingi, kwa maana hiyo hakuna justification yoyote kuendesha taifa bila vision!

Ngoja tusubiri kuona ukweli wa hoja yako mwishoni mwa mwezi huu kama atahutubila taifa kama alivyotwambia kuwa ni "utaratibu wake" wa kila mwezi.
 
Kweli mambo ni magumu sana cha kushangaza ni kwamba yeye mwenyewe hajui ni kwanini Nchi yake ni maskini kwa hiyo hakutokua na tija yoyote
Angekua anaipenda Nchi angekubali kuitisha ucaguzi mapema tu.
 
Sitarajii jipya katika hiyo hotuba yake. Bora hotuba za mkapa watu tulikuwa tunakaa karibu na redio zetu angalau kujua Rais atakuwa na majibu gani juu ya matatizo magumu yanayowakabili wananchi. Ila huyu, huwa naona ni kupoteza muda wangu tu kwenda kusikiliza mipasho yake. Badala ya kwenda kumsikiliza bora nikakae bar niongeze marafiki tu. Pengine watanisaidia wakati wa shida kuliko hizi ngonjera na mipasho ya Kikwete.
 
Kweli mambo ni magumu sana cha kushangaza ni kwamba yeye mwenyewe hajui ni kwanini Nchi yake ni maskini kwa hiyo hakutokua na tija yoyote
Angekua anaipenda Nchi angekubali kuitisha ucaguzi mapema tu.
Atajuaje kama hana strategic plans za kuumaliza huo umaskini? Maana ukitaka kumaliza umasikini ni lazima ujue kwanza chanzo chake. Sasa yeye hana mpango wa kumaliza umasikini, ana haja gani ya kujua chanzo cha umaskini? Tunataka atuambie anataka aipeleke wapi nchi? Anataka tutegemee nini baada ya miaka mitano au kumi ijayo? 2025 si parefu, na maendeleo ya nchi yanarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Kuna report ya IMF inaonyesha hali ya umaskini vijijni imeongezeka kuanzia mwaka 2007 hadi 2009. Wakati huo huo ukisoma report za serikali zinasema umaskini umepungua. Wanampumbaza nani hawa?
 
anajua mkuu, ila sema tunatofautiana katika kuangalia indicators za ukuaji. Si alisema kuwa mojawapo ni magari kuwa mengi DSM!? Labda anashangaa kwanini wengine hawanunui wakati hakuna haja ya kwenda Dubai au Japani maana showrooms zimejaa mjini sasa
Kweli mambo ni magumu sana cha kushangaza ni kwamba yeye mwenyewe hajui ni kwanini Nchi yake ni maskini kwa hiyo hakutokua na tija yoyote
Angekua anaipenda Nchi angekubali kuitisha ucaguzi mapema tu.
 
Atajuaje kama hana strategic plans za kuumaliza huo umaskini? Maana ukitaka kumaliza umasikini ni lazima ujue kwanza chanzo chake. Sasa yeye hana mpango wa kumaliza umasikini, ana haja gani ya kujua chanzo cha umaskini? Tunataka atuambie anataka aipeleke wapi nchi? Anataka tutegemee nini baada ya miaka mitano au kumi ijayo? 2025 si parefu, na maendeleo ya nchi yanarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Kuna report ya IMF inaonyesha hali ya umaskini vijijni imeongezeka kuanzia mwaka 2007 hadi 2009. Wakati huo huo ukisoma report za serikali zinasema umaskini umepungua. Wanampumbaza nani hawa?
Vision kwa mtanzania ni anatoka asubuhi kwenda kutafuta mlo wa mchana, na hii imekwenda hivyo tangu enzi za mchonga...sasa wewe unayo vision bora kuliko serikali?.. hebu tupe vision yako wewe binafsi ya miaka miwili mbele. Wewe utakuwa umetumwa na Slaa kuchafua jina na mtukufu Rais wetu.
 
For sure, knowing the ACTUAL SOURCE OF THE PROBLEM..... makes it to be part of the SOLUTION.......Sasa kama hajui umesikini unatokana na nini, then hajui namna ya kuuondoa......... THE BIGEST PROBLEM JK HAS IS marafiki...........
 
Vision kwa mtanzania ni anatoka asubuhi kwenda kutafuta mlo wa mchana, na hii imekwenda hivyo tangu enzi za mchonga...sasa wewe unayo vision bora kuliko serikali?.. hebu tupe vision yako wewe binafsi ya miaka miwili mbele. Wewe utakuwa umetumwa na Slaa kuchafua jina na mtukufu Rais wetu.
Mshikaji umenichekesha sana. Kwa hiyo wewe unafanya kazi na kulipwa mshahara bila vision yoyote? Kila nilichokifanya kwa ajili ya maisha yangu kilikuwa na vision na ninamshukuru Mungu nilitimiza kama nilivyotaka except ya kuoa tu maana sikuweza kumpata ninayemtaka katika muda niliopanga. But siwezi kuendesha maisha yangu kama gari bovu nisilojua litazimikia wapi? I have strategies for my life and my family.

Halafu jitahidi kutofautisha vision ya mtu binafsi na ya nchi. Watu binafsi wametofautiana akili, lakini nchi inaongozwa kwa mkusanyiko wa mawazo wa watu wengi wenye mitizamo tofauti tofauti. Ukitaka kuendesha nchi bila vision, kila mtu atafanya anachokitaka. No mission can be accomplished without clear goals. Unawezaje kusema una mission ya kuwaletea maisha bora watanzania wote ilihali huna goals, za wapi unataka ufike, unaanza na nini na unafikaje?

Umenifanya nicheke sana uliposema eti nimetumwa na Slaa. Wala sitaki kuweka comment katika hilo, maana sioni jibu sahihi la kukupa.
 
Inatia uchungu sana!! Nyerere alishatulemaza. Nilisikia hasira sana wakati wa majibu yake ya BBC. Eti kuanzia 2009 hadi 2011 atakuwa ameongeza MW 300. Huyu mtu alikuwepo madarakani tangu 2005, na alikuta kuna tatizo la umeme. Kwanini hakuanza tangu wakati huo kama alivyofanya mwenzie mkapa aliyeingia na strategy za ujenzi wa kihansi, songosongo na IPTL? Yeye alikuwa anafanya nini kwa miaka yote hii aliyokaa madarakani hadi aanze kutoa majibu rahisi hivyo leo? Kwanini watu kama hawa wasingekuwa wanajiuzulu jamani? Mbona wanaleta kiwingu sana kwa nchi yetu?

Hapo ulipo sema Mwl.Nyerere alitulemaza nadhani ungerekebisha kidogo nadhani unatakiwa upate kumbukumbu vyema ingia kwa You tube tafuta Mwalimu Nyerere Speach Mai Mosi 1995 usikilize na uone alivyo kuwa akiisema serikali kwa yale wanayo taka kuyafanya na aliyatabili those days 90's na leo ndio haya yanatokea hapo utasema Mwl. Nyerere was wrong no way my friend, Viongozi wetu ni wanafiki wakubwa na walafi wa madaraka hawapendi kutizama alama za nyakati waliuza Viwanda kwa wawekezaji mwl.Nyerere aliwaambia jamani tizameni hili silo ni kosa kujiingiza huko matokeo yake si ndio haya hapa sasa General Tyre Arusha Iko wapi, Kiwanda cha Ngozi Shinyanga kiko wapi Eneo la ufugani wa mifungo Mabuki Mwanza liko wapi. Rais aliepo Madarakani hana vision wataka kuniambia au ni kuwa hawezi kuongoza nchi hilo ndilo la msingina kusema hajui kuongoza serikali yake period
 
Mshikaji umenichekesha sana. Kwa hiyo wewe unafanya kazi na kulipwa mshahara bila vision yoyote? Kila nilichokifanya kwa ajili ya maisha yangu kilikuwa na vision na ninamshukuru Mungu nilitimiza kama nilivyotaka except ya kuoa tu maana sikuweza kumpata ninayemtaka katika muda niliopanga. But siwezi kuendesha maisha yangu kama gari bovu nisilojua litazimikia wapi? I have strategies for my life and my family.

Halafu jitahidi kutofautisha vision ya mtu binafsi na ya nchi. Watu binafsi wametofautiana akili, lakini nchi inaongozwa kwa mkusanyiko wa mawazo wa watu wengi wenye mitizamo tofauti tofauti. Ukitaka kuendesha nchi bila vision, kila mtu atafanya anachokitaka. No mission can be accomplished without clear goals. Unawezaje kusema una mission ya kuwaletea maisha bora watanzania wote ilihali huna goals, za wapi unataka ufike, unaanza na nini na unafikaje?

Umenifanya nicheke sana uliposema eti nimetumwa na Slaa. Wala sitaki kuweka comment katika hilo, maana sioni jibu sahihi la kukupa.
Tatizo la huyo jamaa ni kuwa yeye anabisha tu, so long as amebisha basi anaridhika. Unajuwa mtu anapokuwa na malengo, lazima yawe na vifuatavyo...
1. Lazima yawe na time frame............ Ahadi zote alizozitoa nina uhakika hakuna hata moja yenye time frame.
2. Lazima yawe realistic........... Hebu check ahadi zote alizotoa kama zina ukweli wowote. Anaahidi mabarabara wakati anamkataza Magufuri kubomoa
3. Lazima ziwe achievable.............. Ahadi zake nyingi hazitekeleki........ amezitoa for the sake ya kupata kura
4. Lazima ziwe challenging ...................... Hapo ndo kabisa, maana zitamchalengi kiasi cha kushindwa kuzitekereza............
 
watanzania tulio wengi ni kweli tunaishi bila vision kwa vile hatuna resources za kussuport hizo vision/plans. Lakini kwa case ya rais nadhani sio sahihi pia kuamka asubuhi akisikilizia au kushauriana na mkewe (kama alivyosemaga Mwalimu) alafu ndio aamue, kwa maana budget ya nchi inaallocate resources nyingi sana (human, magari, pesa nk) na hata pesa zikiisha wanaita mabalozi kutuonea huruma na kutupa 'budget support'. Angalia hata pesa za kukarabati pale ikulu (na Msoga) zilivyo nyingi, kwa maana hiyo hakuna justification yoyote kuendesha taifa bila vision!

Ngoja tusubiri kuona ukweli wa hoja yako mwishoni mwa mwezi huu kama atahutubila taifa kama alivyotwambia kuwa ni "utaratibu wake" wa kila mwezi.
Sir Lukindo,
Mission na Vision ni vitu muhimu sana kwa maisha ya kila mtu, organization, tasisi au nchi. Watu,tasisi au nchi zisizokuwa na mision na vision hujiendea tu bila utaratibu na mara nyingi huongozwa kwa matukio. Kuongozwa kwa matukio ni kukosa msimamo kiasi kwamba unaweza badilika wakati wowote kitu ambacho hakijengi msingi wa mbele mzuri. Mision and Vision ni vitu ambavyo vihubiriwe kwa watanzania wote.
 
Tatizo la huyo jamaa ni kuwa yeye anabisha tu, so long as amebisha basi anaridhika. Unajuwa mtu anapokuwa na malengo, lazima yawe na vifuatavyo...
1. Lazima yawe na time frame............ Ahadi zote alizozitoa nina uhakika hakuna hata moja yenye time frame.
2. Lazima yawe realistic........... Hebu check ahadi zote alizotoa kama zina ukweli wowote. Anaahidi mabarabara wakati anamkataza Magufuri kubomoa
3. Lazima ziwe achievable.............. Ahadi zake nyingi hazitekeleki........ amezitoa for the sake ya kupata kura
4. Lazima ziwe challenging ...................... Hapo ndo kabisa, maana zitamchalengi kiasi cha kushindwa kuzitekereza............
Safi sana mkuu, umenirudisha shuleni kwenye kanuni za kuandaa lesson plans. Na hapa ndo penye shida kubwa. Wewe angalia hata bajeti zile zinavyosomwa bungeni, mkulo anashindwa kusema kutokana na bajeti hiyo tunatarajia uchumi wetu uwe umekua kwa asilimia ngapi, umaskini utapungua kwa asilimia ngapi, na tunafikiria bajeti hii itapunguza vifo vya watoto na mama wajawazito kwa asilimia ngapi. Kinachofanyika ni bora liende tu. yeye anachojali bajeti imepigiwa makofi na wabunge wa CCM basi imetoka. Where are we aiming to? Tunataka tufike wapi, tunataka tutatue nini, tutatatua vipi na kitatuchukua muda gani kukitatua hiki? Bei za bidhaa zinapanda holela tu, kisingizio eti mafuta. Ina maana hayo mafuta yanapanda kwa Tanzania tu? Mbona hiyo inflation rate haiwi ya kutisha hivyo kwenye nchi nyingine?
 
Hapo ulipo sema Mwl.Nyerere alitulemaza nadhani ungerekebisha kidogo nadhani unatakiwa upate kumbukumbu vyema ingia kwa You tube tafuta Mwalimu Nyerere Speach Mai Mosi 1995 usikilize na uone alivyo kuwa akiisema serikali kwa yale wanayo taka kuyafanya na aliyatabili those days 90's na leo ndio haya yanatokea hapo utasema Mwl. Nyerere was wrong no way my friend, Viongozi wetu ni wanafiki wakubwa na walafi wa madaraka hawapendi kutizama alama za nyakati waliuza Viwanda kwa wawekezaji mwl.Nyerere aliwaambia jamani tizameni hili silo ni kosa kujiingiza huko matokeo yake si ndio haya hapa sasa General Tyre Arusha Iko wapi, Kiwanda cha Ngozi Shinyanga kiko wapi Eneo la ufugani wa mifungo Mabuki Mwanza liko wapi. Rais aliepo Madarakani hana vision wataka kuniambia au ni kuwa hawezi kuongoza nchi hilo ndilo la msingina kusema hajui kuongoza serikali yake period
Nadhani sikueleweka niliposema Nyerere alitulemaza. Hoja ya msingi hapa ni kwamba Nyerere alitujengea hulka ya ukondoo na ubwana ndiyo mzee ambayo ndiyo inatutafuna watanzania hivi sasa. Mambo mangapi ya hovyo hovyo yanafanyika hapa na bado viongozi wanatukejeli kwa dharau kubwa kabisa na hatufanyi chochote? Haya si ndo matunda ya Nyerere kuwaaminisha watanzania kwamba fikra za mwenyekiti pekee ndiyo zilizo sahihi?

Mabomu yameua watu Mbagala, na gongolamboto, mkuu wa majeshi na waziri mwenye dhamana wanakwambia hatujiuzulu. Na huku watu wamekufa, na watanzania wanabaki wanangáa macho, na kuendelea kuwapigia makofi hao wanamagamba. Huu si ndo ujuha huu alioupanda Nyerere kwa watanzania? Wabunge nao akili yao hiyohiyo, si upinzani wala wa CCM lao moja. Hivi kwa hali ya umeme ilipofikia, kwa mabunge ya wenzetu Ngeleja angeendelea kuwa waziri? Mbona hata Kikwete angekuwa anapigiwa kura ya no confident. Sasa kwetu je? Si ndo ujuha alioudevelop Nyerere kwa watanzania huu?
 
Lakini tunayo nafasi kama wananchi kuanza kula sahani moja na wabunge wanaokwenda kusinzia bungeni na kuunga mkono utumbo. Tuwashikie bango hawa wabunge waibane serikali ijifunze kuwajibika na kutekeleza yale ambayo imeahidi.

Lakini zaidi ya yote ni lazima tuombe wabunge wetu wambane waziri wa mipango, uratibu, sera na bunge pamoja na yule wa fedha watengeneze vision na sera ya taifa. Ukiangalia kwenye vitabu vingi vya CCM (Ilani, katiba) utakuta wameandika nchi inaongozwa na sera ya ujamaa na kujitegemea. Ukifunga tu kitabu hicho unakutana na akina Rostamu wanatafuna mabilioni ya watanzania bila huruma, sasa huu ni ujamaa gani jamani? Mbona wanaofaidi ni wachache? Au ni kutupumbaza watanzania ili mle peke yenu? Basi tuambieni sera yetu halisi kama ni ya kila mtu ale kadri ya urefu wa kamba yeke basi tujue hivyo.

Lakini mwisho wa yote tunataka tuambiwe baada ya miaka mitano ya kuwa madarakani Kikwete unataka uifikishe wapi nchi? Iwe na deni kubwa zaidi la nje na ndani? Unataka uwe umefikisha inflation kwenye asilimia 100? Unataka utuchapishie noti za elfu hamsini? Tell us, where are you aiming to?
 
Back
Top Bottom