Kikwete: A Failure in Leadership - National Vision and Dream Defaulted

Change, tranformation or whatever you choose to call it can be smooth and peaceful but only to those that have gone through or experienced at least one. Sadly to our beloved country and with our system of governance, such transformation can cause major upheavals and has to be a very dirty and messy affair if only to succeed. It is the dirt and the mess that is scaring us from fighting for our rights and we just have to wake up ! Sad, sad, sad !
 
Malaria sugu hivi alieiba pesa nyingi EPA ni nani kama sio Kagoda co? Je ameshafikishwa mahakamani? Walioiba bn 2 ndio wanakesi bn33 hawana huu kweli ni ujasiri wa kupambana na rushwa au ushawishi wa kufanya rushwa kubwa ndogo ziachwe? Naomba uwe makini unapomtetea huyu bwana.
 
I hope for a better Tanzania but with the momentum of recklessness and domination of bad over good attitude in the populace, the future is looking blurry and even more than blurry. We need to hold Tanzania and first dig her out of the hole, work on her basics, stir her out of the off road or ditch, then upgrade her on at appropriate times during lapses. That our only way out

Let us organise ourselves through political institutions,we can reclaim back our beloved motherland
 
Malaria Sugu,
Mkuu lazima ueelewe kwanza maana ya methali hii.. Inahusu watu ambao hawana POWER, wanyonge wasiokuwa na uwezo wa maamuzi na kutoa hukumu ktk haki zao, haizungumzii mtu au WATU walioshikilia madakara, wenye power ya kutoa hukumu ya haki za wanyonge. JK ni rais mwenye nguvu kubwa hawezi kuwa mnyonge.
Mnyonge mnyongeni lkn haki yake Mpeni ni maneno ambayo JK alitakiwa kuyazingatia haki ya wafanyakazi wake badala yake kawanyonga wanyonge hawa bila kuwapa haki yao..
 
ukitumia muda mwingi madrassa, matokeo yake ni kuandika pumba tu kila wakati ...grrrrrrrrrrrrr
 
Katika binaadamu kuna vitu muhimu ambapo visiposhirikiana tunapata vitu vya ajabu au kama vizuri basi ni kwa kubahatisha.Ukiondoa moyo ambayo ndio injini UBONGO,MACHO ,MASIKIO, PUA, ULIMI NA NGOZI.Kiungo muhimu cha kiviunganisha vyote hivi ni UBONGO ubongo unatafakari na kuchuja habari zote ulizozipata kutoka kwa viungo hivyo nilivyovitaja na kuvipeleka katika ulimi.

Pale kunapokua na itilafu katika mawasiliaono ya viungo hivyo na ubongo nitatizo kubwa kwani kauli inatoka machoni au masikioni au puani au katika ngozi na kuelekea katika ulimi bila kupitia katika ubongo na kuchujwa na kutafakariwa ,matokeo yake ni matamshi au hotuba zisizo na kichwa wala miguu huu NI UGONJWA ambao nimegundua huku katika viongozi wengi wa CCM kuanzia Rais JK,Makamba n.k Ndio mwazo wa hotuba na kauli zisi na kichwa wala miguu.

Yanapotokea makosa haya wakati wote tunakimbilia kusema washauri wa Rais walimdanganya Rais.Katiaka hali ambapo MH.Rais viungo nilivyovitaja hapo juu havifanyikazi hata umtafutie washauri wa viwango vyovyote ni kazi bure.

Rais na viongozi wa namna hii ni miungu kwa mafisadi kwani ndio wanageuka kua ubongo wa viongozi hao na machungu kwa walalahoi ambao wanayapata machungu hayo kwa maamuzi ya kipuuzi.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mzee mmoja mashuhuri wa Chama chetu keshasema Kijana Kikwete ndiye Mtaji wa CCM! I hate this yaani inaoneka hata CCM wakiweka Jokeli basi litashinda tu uchagu, nadhani someone has bewitched Tanzanians, kama sivyo basi kuna hila nyingi sana na sanaa katika uchaguzi wetu, ama NEC au Serikali inacheza mchezo mchafu kwenye chaguzi zetu.
 
And God forbid, but it is possible if JK dies today ina maana there is no future for Tanzania?????? And if this happen ndiyo utajuwa how unstable our political systems are!!! Maana is funny kila kiongozi anaamini anweza kuwa presidaa!!!!
 
How do we move forward manake hata kujiandikisha kupiga kura hatumo we need ku mobilize watu wapige kura za kweli NO CCM NO KIKWETE vikundi vya wanaharakati vitoke sasa barabarani maandamano yaongozane kuanzia sasa mpaka September, Femat waliishia wapi wakati walisema wangetoka barabarani miezi mitatu iliyopita, TUCTA watoke, Chadema watoke, Wakristo watoke kupinga benki ya Kiisalamu ndani ya Stanbic walimu vyuo vikuu vya umma watoke barabarani mambo yawe back to back ndio njia pekee ya kubadilisha maisha mpaka hao viongozi wakimbie nchi, yeye na vibaraka wake wanaonenepea kodi zetu
aisee si ulimsikia JK alivyowatisha TUCTA na risasi endapo wataandaman? yaana serikali yetu ni hovyo!! no democracy at all, freedom of speech na yenyewe wanataka kuibania, si unajua, vibaraka wa serikali wamo mpaka humu JF!!! lakini ni mwendo wa kugangamaa!! mzee mwanakiji safi!!
 
Great contribution. Bado naamini kuwa watu wengi bado hawajaijua nguvu waliyo nayo ni kubwa ili kuleta mabadiliko. Jambo linalotakiwa kama ulivyosema ni 'kufumbua macho' wananchi watoke katika hili lindi la usingizi liliosababishwa na bangi au dawa ya kulevya ya imani potofu kuwa viongozi waliopo ama chama kinachotawala ni hicho hicho kinachoweza kuongoza nchi yetu.
I'm a youth, a CCM member, and one among the many victims of Jakaya's myths; infact i was on my final year (undergraduate) when this gentlemen visited the campus, and to be honest i was really turned on (kinda fan of him even before that day). Kutokana na ahadi zake na utendaji kazi wake katika wizara mbalimbali, nilijikuta nikimwamini sana na niliamini anaweza kuivusha Tanzania toka hapo ilipo. Bila kinyongo na kwa matumaini makubwa nikampa KURA yangu mwaka 2005!

Just to my surprise .... soon after taking the oath to the magogoni office, its only when i came to realize that i did a very serious and biggest mistake in my life ... the pandora box started to unveil itself! Mengi yamesemwa sana, naipenda sana CCM ya Kambarage, lakini pia nachukia sana mfumo wa CCM wa sasa pamoja na leadership style yake. Mambo mengi yamebadilika na viongozi hawa hawaambiliki na hawasikilizi wananchama wao kabisa! Its like wamejitengenezea mbingu yao peke yao ndani ya chama.

Mimi sio muumini wa mapinduzi nje ya chama kama wengine, naamini mabadiliko yanaweza kufanywa hata ungalipo ndani ya chama. Rais Kikwete amenivunja moyo sana, amenisononesha sana, na amenifanya nijisikie mnyonge sana ndani ya nchi yangu mama niipendayo. Nimeshakata shauri, kama chama (CCM) kitampitisha mh. Kikwete kuwa mgombea wao wa urais, basi kura yangu itaenda kwa kiongozi yeyote yule wa upinzani (hapa sitojali chama) au binafsi ambaye angalau ataonekana ana matumaini ya kutetea nchi yangu na rasilimali zake, pamoja na maslahi ya vizazi vya baadae. Nitashawishi mke wangu, wadogo zangu, rafiki zangu, jamaa zangu na ndugu zangu kutompigia huyu mheshimiwa kura ya Urais na mbunge yeyote mbovu atakayepitishwa jimboni kwangu. Ninaamini peke yangu kwa uchache sitokosa watu (kura) 20, na wengi wakifanya kama hivi basi naamini hiyo itakuwa ni adhabu tosha kwake na kwa wenzake wasiosikia vilio vyetu! Hata kama atashinda, basi si kwa kishindo tena na message itakuwa imeshakuwa delivered!

Sina nguvu ya kushindana na dola, lakini pia nina nguvu isiyoweza pokonywa na dola, nayo ni uwezo wa kuchagua mtu nimtakaye kuwa kiongozi wangu (rais, mbunge, diwani etc) kupitia KURA yangu, kwa utashi wangu! Huu si muujiza, inawezekana!!
 
umesema vyema sana.. na eneza fikra hizo kwa wengine!
 
Sina nguvu ya kushindana na dola, lakini pia nina nguvu isiyoweza pokonywa na dola, nayo ni uwezo wa kuchagua mtu nimtakaye kuwa kiongozi wangu (rais, mbunge, diwani etc) kupitia KURA yangu, kwa utashi wangu! Huu si muujiza, inawezekana!!

Afrolife, unaamini kura yako na familia yako zinaweza kuleta mabadilko unayotamani kwa Tume (NEC) na Serikali hii? Ili kura yako itoe majibu zinahitajika nguvu za ziada; uliza Kigoma Mjini (enzi ya Dk Kaburu), Tarime na Karatu. Iliwagharimu sana wapiga kura kupata matokeo waliyoyataka, walikesha katika vituo vya kupigia kura, walipigwa mabomu ya machozi na virungu na FFU.
KWa uwanja huu wa uchaguzi na marefa na mashabiki walioko ni ngumu sana kushinda mechi, you need to go ana extra mile.
 
Nina changamoto kwenu wanajamii ni wangapi wetu tuliojiandikisha kupiga kula? Na tumefanya nini kuhakikisha mama na ndugu zetu wanaelewa ubaya wa ccm na kuweza kutoipigia kula?

kweli Lyangalo, hatua ya kwanza kabisa ni kuelimisha jamii tofauti ya kupiga kula na kupiga kura...we need to start from the ABC's.
 
Katika binaadamu kuna vitu muhimu ambapo visiposhirikiana tunapata vitu vya ajabu au kama vizuri basi ni kwa kubahatisha.Ukiondoa moyo ambayo ndio injini UBONGO,MACHO ,MASIKIO, PUA, ULIMI NA NGOZI.Kiungo muhimu cha kiviunganisha vyote hivi ni UBONGO ubongo unatafakari na kuchuja habari zote ulizozipata kutoka kwa viungo hivyo nilivyovitaja na kuvipeleka katika ulimi.

Pale kunapokua na itilafu katika mawasiliaono ya viungo hivyo na ubongo nitatizo kubwa kwani kauli inatoka machoni au masikioni au puani au katika ngozi na kuelekea katika ulimi bila kupitia katika ubongo na kuchujwa na kutafakariwa ,matokeo yake ni matamshi au hotuba zisizo na kichwa wala miguu huu NI UGONJWA ambao nimegundua huku katika viongozi wengi wa CCM kuanzia Rais JK,Makamba n.k Ndio mwazo wa hotuba na kauli zisi na kichwa wala miguu.

Yanapotokea makosa haya wakati wote tunakimbilia kusema washauri wa Rais walimdanganya Rais.Katiaka hali ambapo MH.Rais viungo nilivyovitaja hapo juu havifanyikazi hata umtafutie washauri wa viwango vyovyote ni kazi bure.

Rais na viongozi wa namna hii ni miungu kwa mafisadi kwani ndio wanageuka kua ubongo wa viongozi hao na machungu kwa walalahoi ambao wanayapata machungu hayo kwa maamuzi ya kipuuzi.MUNGU IBARIKI TANZANIA

Advocate,

Nahisi ubongo wa Rais na wasaidizi wake ni mzuri sana ndio maana wanaweza kupanga na kutekeleza waziwazi mikakati inayo angusha nchi huku wakishinda uchaguzi baada ya uchaguzi, wenye matatizo ya ubongo ni sisi tunaoendelea kuwasifia na kuwaweka madarakani.
 
Hivi kweli mnafikiri Watanznaia hawajui haki zao?

MKJJ,

nadhani watanzania tunatambua haki zetu, ila hakuna ujasiri na wengi hawatambui ukubwa wa nguvu iliyo katika kila kura inayopigwa katika kuleta mabadiliko wengi wanaielewa hii nchi ki vipande vipande, uelewa wa nini kunachoendelea katika picha kubwa ni mdogo, matokeo yake ndio haya ya fikra finyu kwamba rais wa nchi lazima atoke CCM.
 
"Across many countries in Asia, governments base their legitimacy and reasons for retaining power on their economic growth strategies and the focus on poverty reduction and expanding opportunity.

In contrast, too many governments in Africa, however they came to power, quickly begin to believe that only they can be trusted to rule their countries. The result becomes Government for the benefit of the ruling elite rather than society as a whole.
National wealth is siphoned off to enrich the few, not to help the many. Corruption flourishes, inequalities and grievances worsen.

Ladies and Gentlemen, Governments can not afford to forget that the role of the state is to serve its citizens, not the rulers. Economic development must combat poverty and inequality in the long term and make tangible improvements in peoples' livelihoods in the short term".(Koffi Annan Feb 2010)

http://kofiannanfoundation.org/news...asia-and-africa-past-lessons-future-ambitions

hapo kwenye bold ni mfano mzuri sana wa Tanzania, ndio maana njia moja kubwa ya kuanza kuleta mabadiliko ni kuwaonyesha JK na timu yake kwamba wapo wengine wanaoweza kuongoza nchi kwa kuzingatia mahitaji ya wananchi.
 
The vision of our president is undefined, the nation has no direction anymore
This is the president we elected saying ni chaguo la Mungu
 
The vision of our president is undefined, the nation has no direction anymore
This is the president we elected saying ni chaguo la Mungu

Second term in office......we are in a mess! We need a very serious or Radical intervention.sehemu salama ya rais hadharani ni kwenye mazishi,Makanisani na Misikitini tu au nje ya Tanzania
 
To me, I wish the current TUCTA leadership would articulate very clear that NO MORE FIVE YEARS for Kikwete and his leadership! na kutoka hapa to mobilize the masses not to elect CCM
To agigate for change is the simplest of the tasks. Getting the appropriate replacement that meets the peoples' expectation is what constitutes your weakness in all your articles.

I am not convinced that those that you and the rest of your admirers quietly front are credible and have what it takes to take the mantle! Some of the criticism is harsh, unfair and at times bordering on mob justice in the personality of the president! It is my personal conviction that emotions and inciting people can never be the qualification of a leader who can tackle the challenges that you feel are well beyond the capacity of the current leadership.

The the long and short of it is that the current opposition is far more myopic, populist and emotional to be given the baton of power.
 
Back
Top Bottom