Kikwete, 2010 Kuna Kituo Kaloleni..

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...ulipata kura 4 kati ya 2000+! This should tell you something! No wonder unatumia nguvu kutawala maana unajua kuwa uliwekwa na NEC na sio kwa kura halali.
 
kwa nini unaandika post kana kwamba kila mtu yupo kichwani kwako na kujua unachofikiria! kwa nini usiandike maana yako kwa weledi kichwa cha habari kiungana na habari yenyewe na kuwe na mwanya wa kujadili, sasa hii thread yako imekaa tangazo si tangazo, agizo si agizo lalamiko si lalamiko halieleweki,. wahusika wawe wanachuja na kutupa kapuni thread za aina hii!!
 
Kama hukuelewa ni kwa kuwa wewe ni kilaza. Na hilo si kosa langu, it is your own loss!
 
Back
Top Bottom