Kikosi kazi:matokeo ya wizara ya afya

Mliopo kigoma,Songea na mwanza ni vp heb tupen uhakika et wametoa kwenu huko jaman? .WA KANDA YA MBEYA N VIP MBONA HATUZUNGUMZI TUJULISHEN MLIOPO HAPO MBEYA.

Mwanza wamebandka ya certificate tu,but wamesema diploma watabandka anytym
 
Sasa mliopo mwanza m2 habarishe ni vyuo vipi ambavyo kanda ya ziwa wengi wamepelekwa.Cmnajua sisi wengne bhana 2po far kiaina.
 
Wana mliopo mwanza kma mnaweza niangalizien paul makolo na mwanukuzi fabian mwandu.
2saidiane 2 ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom