Kikosi cha wasomi [Doctors, engineers, na wengine] kuhutubia mkutano wa CHADEMA Reading, UK

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
[h=3]MKUTANO WA CHADEMA READING[/h]

TAWI LA UK

Mkutano utafanyika siku ya Tarehe 26/08/2012 kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi na mbili jioni, siku ya Bank Holiday. .Risc Reading International Solidarity Centre, 35-39 London Street, Reading, RG1 4PS .
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]BAADHI YA WATOA MADA MBALI MBALI WATAKAONGEA SIKU HIYO NI;

[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]DR, LUSINGU[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]DR, ALEX [/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]ASERI KATANGA (Chairman computers for AFRICA)[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Engineer PRUDENCE[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]LIBERATUS MUSIBA (Msc, Project planning & Management)[/FONT]
NA WENGINE WENGI
Watanzania wote na wadau mbali mbali mnakaribishwa
MFUKO WA KUFA NA KUZIKANA UTAANZISHWA SIKU HIYO KWA AJILI YA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK. MFUKO UTASAIDIA KUSAFIRISHA MAREHEMU PAMOJA NA MFIWA MPAKA NYUMBANI. KITU AMBACHO UBALOZI WETU UMESHINDWA KUKIFANYA

SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI CCM

ni wakati wa kusimama na kusema tumechoka

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA HAWA WAFUATAO
MWENYEKITI: Chris Lukosi 07903828119

Au tutumie email kupitia chademauk@gmail.com

Peooooople's Power

[/FONT]
 
Huo mfuko wa kufa na kuzikana unachafua ajenda. Kwani huko UK mnasaidiana kiitikadi???? Maana mkutano huo utaudhuriwa na wanachama/wapenzi wa CHADEMA. Nashauri itafutwe forum nyingine kwaajili ya kuanzisha huo mfuko wa kufa na kuzikana ili tudumishe utaifa wetu hata kama mpo nje ya nchi.
 
Chanzo muhimu kwa hiyo kufa na kuzikana sawa kuwa agenda mojawapom
 
huo mfuko wa kufa na kuzikana unachafua ajenda. Kwani huko uk mnasaidiana kiitikadi???? Maana mkutano huo utaudhuriwa na wanachama/wapenzi wa chadema. Nashauri itafutwe forum nyingine kwaajili ya kuanzisha huo mfuko wa kufa na kuzikana ili tudumishe utaifa wetu hata kama mpo nje ya nchi.

kaka hapo hujaelewa kidogo hao jamaa wanasema, ccm imeshindwa!
 
Chanzo muhimu kwa hiyo kufa na kuzikana sawa kuwa agenda mojawapom

Inaelekea hujanielewa vizuri. Sijapinga kuwa agenda ya kufa na kuzikana si muhimu kwenye kikao hicho, bali kitawatenga wengine wenye itikadi tofauti. Bado kunauwezekano wa kuitisha mkutano maalumu kwa ajili ya agenda hiyo muhimu bila kuhusisha itikadi. Samahani na pole sana kama nimekukwaza kwa angalizo hili.
 
Huo mfuko wa kufa na kuzikana unachafua ajenda. Kwani huko UK mnasaidiana kiitikadi???? Maana mkutano huo utaudhuriwa na wanachama/wapenzi wa CHADEMA. Nashauri itafutwe forum nyingine kwaajili ya kuanzisha huo mfuko wa kufa na kuzikana ili tudumishe utaifa wetu hata kama mpo nje ya nchi.
Huo mfuko ni kwa ajili ya watanzania wote waishio UK , uwe CUF, CCM, UDP PONA kila mtu atanufaika na huu mfuko
 
Nimeipenda hii: "Sisi sote ni ndugu, tatizo ni CCM". Hii inapaswa kuwa kauli mbinu yetu sote kuelekea 2015.

Dr.,

Bila ya kukanusha ukweli wa wazi unaoudokezea, napenda ku challenge hii notion inayo imply ya kwamba tatizo letu ni CCM tu, tukiwaondoa mambo yatakuwa "hunky-dory".

Obviously kauli mbiu zina characteristic ya ku oversimplify mambo, lakini hili halizuii a fuller examination ili hata watu wakitumia kaulimbiu hizi, wawe na context.Kwa sababu unaweza kuwambia watu "tatizo ni CCM" wakakupa nchi, uka implode kwa sababu nchi haina culture ya institutional politics, uka wa disappoint watu buree.

Kuna wengine tunaoona kwamba kuna mizizi ya matatizo yetu iliyo katika mambo yaliyo na kina zaidi ya vyama, na kuharakisha lawama kwa CCM tu ni kuficha tatizo.

Nimeuliza kuhusu "Red Brigade" ya CHADEMA hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...bali-operesheni-m4c-morogoro.html#post4461104

Na hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...li-operesheni-m4c-morogoro-2.html#post4463895

Sijapewa majibu.

Inaonekana labda CCM kiko vulnerable zaidi kwa sababu kina form serikali, lakini is CHADEMA truly principled?
 
Unaweza kuyaorodhesha baadhi ya hayo mambo yaliyo na kina zaidi ya vyama?
 
Kuwa mfuasi wa Magamba yataka moyo.......Mkuu nakushauri muulize kwanza Nape kuhusu Green Guard na unyama waliofanya kule Igunga.
 
Back
Top Bottom