Ndo raha yake ukiwa askari jeshi Tz umemaliza kazi,kazi zinazokuwa zimebaki ni kufyeka majani,kufagia na kuwapa kichapo raia wa Mbagala

Dah nimecheka sana

Ndo raha yake ukiwa askari jeshi Tz umemaliza kazi,kazi zinazokuwa zimebaki ni kufyeka majani,kufagia na kuwapa kichapo raia wa Mbagala

JWTZ au Tanzania hatuna sab marine Eti kina kirefu kwan hawajajifunza
umakini upi, wa kushindwa kuokoa miili ya wazanzibar kwenye ajari ya mv bukoba tuliwaelewa lakini mpaka leo hawajajifunza au hawajanunua vifaa si wakackukue kwenye akauti ya shimbo pesa kidogo wanunue vifaa vinavyotakiwa au kwenye meremeta..ccm wasitufanye watanganyika wajinga kiasi hicho wa wajari maisha yetu si mimba zao maana vitambi vyao ni zaidi ya vitambi

mh..tuwe makini tunapotoa lawama jamani.
Ajali ilotokea nungwi meli imezama kwenye kina kirefu sana. Hakuna vifaa vya kusaidia kikosi kufanya kazi yake. Thats why hata s/african divers wameshindwa.
Ukweli ni kuwa hakuna hata vifaa vya kukadiria ni kina gani pia jeshi hili halina. Limeomba msaada hata bila kutoa makadirio halisi ya kina. Zi wapi pesa za meremeta? si meremeta ilianzishwa kama mradi wa kununulia vifaa vya kijeshi au?in red sio kweli mkuu!!!kwanza jiulize hao watu walionusurika Nungwi waliokolewa vp?
Hali hii inaashiria kuwa adui akituvamia sasa hivi, akafichama mita 300 baharini hatumwezi. Atakuwa anaibuka na kutupiga tuu, maana hatuna uwezo wa kumfuata huko