Kikosi cha SIMBA TAIFA KUBWA

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
WanaJF, NAOMBENI mwenye kukumbuka vema anitajie kikosi kilichoifunga sports club villa ya Uganda mwaka 1991 au 1992. Enzi za akina Majjid Musisi, Hassan Hafif na Zamoyon Mogella. Pia nijulishen ilikuwaje SIMBA SC, TAIFA KUBWA ikashindwa kutwaakombe la CAF mwaka 1993 ilhali ilikuwa ktk nafasi nzuri baada ya kutoka droo na Stella Abijan. Je, ni fitna za Dewji kama inavyosemekana au walizidiwa na mchezo?
 
Unataka kumfungulia kesi Dewji? kumbuka ya kale hayanuki!!
 
Back
Top Bottom