kikombe kingine chapatikan mtwara

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
jamani hizi njaa zinatupeleka pabaya na hawa viongozi wetu inaonekana ni hopless mandazi. Bibi mwingine yupo mtwara katk kijiji alichozaliwa mkapa naye anagawa kikombe kwa jero jero. Mpaka jioni mtasikia mkuu wa mkoa kanywa, wa wiilya kanywa na wengine wengi tuu. Hv tz tumerogwa! Kuna kipindi hii nchi ilitaka kuongozwa kwa kuskiliza utabiri wa sheke yahaya bahati nzuri hilo likazimwa. Sasa naona ni mwendo wa kikombe. Kwenye mahospitali manesi wanakula shushi wanataka waombe likizo kwa sababu kazi hamna. Poor tanzania.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom