Kikombe kingine chaibuka newala!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
YETU MACHO MWAKA HUU

HAKUNA RANGI TUSIOACHA KUIONA AKIKA

DSC06290.JPG
 
MBELE YA UPONYAJI WAMAM WASIKWAMBIE KITU WAKO MBELE SI MCHEZO

DSC06286.JPG
 
Nasikia hiki ni KIJIKO, sio kikombe ! na madaktari wamethibitisha kabisa kwa vyeti na vipimo kuwa mtu kapona ukimwi ( Taarifa ya habari jana TBC1)
 
Hiyo picha ya kwanza inaonyesha anakumegea na andazi kidogo kabisa... hehe.. watanzania kweli mambo bado
 
Haya yote ni serikali kushindwa kutawala chini ya CCM, na kukimbilia kikombe ili kutuliza vuguvugu la mabadiliko, hakika tujiandae kuona rangi ambazo hata hatujawahi kuziona.

Serikali yoyote iliyopoteza mwelekeo siku zote huwa inakumbatia hoja nyepesi nyepesi, kama ilivyotokea kwa Mobutu ambaye alishia kuwashinikiza wana muziki wa kizaire wamwimbie kwenye nyimbo zake, mwishowe akazikwa na watu wachache katika maziko yasiyo kuwa na heshima.

Kama CCM na viongozi wake wanasoma alama za nyakati vizuri wajiandae kuelekea huko, pona yao ni kujichuna ngozi na kutoa nyama ibaki mifupa walioikataa ya azimio la arusha.

Nje ya hapo ni kuporomoshwa kwa kishindo kikuu na chama kusambaratika mpaka baada ya miaka hamsini mingine.
 
iman yetu ndiyo itakayotuokoa....hakika tupo safarini....tutaona mengi na ya kustaaajabisha..... so tusiogope juu ya haya.... tuangalie mambo muhimu ya nchi,tunawezaje kukidhi haja za watanzania...miundombinu hali ngumu ya maisha... endapo mambo haya tungeyapa promotion na kuwa vinywani mwa watu kila siku hakika tanzania hii ingekuwa si kama tuionavyo... lakin kwa mambo ya msimu tupo attention sana... mungu bariki africa mungu bariki TANZANIA!
 
newala hicho kikombe kipo kijiji gani coz newala kubwa
..Kweli bana tena newala ni karibu kuliko samunge hapa nauli haizidi 50 unapata kibuyu/kikombe unarudi town unaendelea kutimba maisha!!..
 
Hizi ni Nyakati za Mwishooooooooo, Jamani ndugu tumuombe Mungu!

Ili hivi vikombe/vijiko/vibuyu/visoda vya dawa za kienyeji, Visije kutukosesha kuurithi ufalme wa Mbingu
 
Mkapa aliwahi kusema hii ni bongo land unaishi kwa bongo, kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom