Kikombe kingine chaibuka Mbarali kwa 20,000/-

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
337
Wale wanaoamini tiba ya vikombe wamepata neema nyingine baada ya bibi mmoja kuibuka huko mbarali na kudai kaoteshwa na mungu atoe kikombe cha dawa ambayo inatokana na kuchemsha mizizi ya mbuyu ambapo anadai kuwa inatibu ukimwi kwa kunywa kikombe kimoja tu.

Hata hivyo tofauti na watoa vikombe wengine huyu kikombe chake kinauzwa kwa 20,000/-.

Chanzo: UHURU
 
Wale wanaoamini tiba ya vikombe wamepata neema nyingine baada ya bibi mmoja kuibuka huko mbarali na kudai kaoteshwa na mungu atoe kikombe cha dawa ambayo inatokana na kuchemsha mizizi ya mbuyu ambapo anadai kuwa inatibu ukimwi kwa kunywa kikombe kimoja tu. Hata hivyo tofauti na watoa vikombe wengine huyu kikombe chake kinauzwa kwa 20,000/-.

GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Kikombe kingine chaibuka Mbarali kwa 20,000/-

Sasa serikali iingilie kati hili swala..
Na vyombo vya habari visiruhusiwe kutanngaza hivi vikombe hadi kwa kibali
 
jamani hivi hakuna mtu anayeoteshwa kwa kutumia vitu vingine? maana kila anayeibuka anadai kaoteshwa kutoa dawa kwa kutumia kikombe! huu sasa utakuwa ni ubabaishaji
 
Waacheni wapunguze hali ngumu ya maisha, huko kijijini hali ni ngumu kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wale wanaoamini tiba ya vikombe wamepata neema nyingine baada ya bibi mmoja kuibuka huko mbarali na kudai kaoteshwa na mungu atoe kikombe cha dawa ambayo inatokana na kuchemsha mizizi ya mbuyu ambapo anadai kuwa inatibu ukimwi kwa kunywa kikombe kimoja tu. Hata hivyo tofauti na watoa vikombe wengine huyu kikombe chake kinauzwa kwa 20,000/-.

GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Kikombe kingine chaibuka Mbarali kwa 20,000/-

Watanzania mataahira kweli na hata huko watakwenda!
 
Hivi anayewapa kichwa ni nan hawa baadhi ya waganga wa kienyeji, halafu cha kushangaza ni tanzania tu.

mimi nazani yaliotabiliwa sasa yameanza kuti mia taratibu,nilikuwa najaribu kupitia website moja inayojulikana kama FAMILY RADIO kwa hesabu ya KIBLIA TAREHE 21-05-2011 ni siku ya ukumu for more detail go through that website nikilingamisha na hivi vikombe nguvu zinaniishia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom