Kikombe cha Loliondo hakina ubaguzi...............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
<table class="contentpaneopen" border="0"><tbody><tr><td class="contentheading" width="100%">Babu Loliondo asitisha tiba kwa wiki moja </td> <td class="buttonheading" align="right" width="100%"> Send to a friend </td> </tr> </tbody></table> <table class="contentpaneopen"> <tbody><tr> <td class="createdate" valign="top"> Sunday, 27 March 2011 21:56 </td> </tr> <tr> <td valign="top">

balelekandoro.jpg
Filbert Rweyemamu, Loliondo
HUDUMA za uponyaji wa magonjwa sugu, zinazotolewa na Mchungaji mstaafu wa KKKT, Ambilikile Mwaisapile, zimesitishwa kwa wiki moja,kufuatia matukio ya idadi kubwa ya watu wanaofuata tiba kufariki dunia kabla ya kupata huduma.
Mchungaji Mwaisapile maarufu Babu, aliwaambia waandishi wa habari jana hali katika Kijiji cha Samunge, sasa ni mbaya, yakiwa ni matokeo ya kuongezeka kwa idadi ya watu wanaofuata tiba.
Alisema hata hivyo, ongezeko la watu katika kijiji hicho limesababisha madhara makubwa ya kiafya kwa maelfu ya watu."Tumeelemewa na idadi ubwa ya watu, naomba halmashauri ya wilaya itusaidie ili tuweze kuwahudumia hawa watu ambao sasa wanakufa hata kabla ya kupata dawa," alisema.
Alisema yeye binafsi, bado ana nguvu, nia na uwezo wa kuendelea kutoa tiba kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia na kumwelekeza na kwamba anachohitaji ni ushirikiano katika kuboresha taratibu ili tiba ipatikane bila usumbufu na adha kwa wananchi.

Akisoma tamko la Mchungaji Mwaisapile, Ofisa Makazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Frederick Mwisagile, alisema linakuja baada ya kupewa taarifa kuhusu msururu wa magari uliokwama kilometa 55 kutoka nyumbani kwake.Habari zilisema msururu unakakadiriwa kuwa na zaidi ya magari 4,000 na mengine zaidi ya 100 yamekwama.

Mchungaji huyo aliiomba serikali isaidie kupunguza msongamano wa watu na magari yanaoendelea kwenda katika kijiji hicho yakitokea ndanni na nje ya nchi."Nimeambiwa watu wasiopungua 24,000 wapo ndani ya magari kwenye foleni. Najua itawachukua kati ya siku tatu hadi saba kufika kwangu, kwa kweli hali hii si nzuri na inahitaji hatua zichukuliwe haraka,"alisema.

Kwa mujibu wa mchungaji, njia ya kukabiliana na msongamano huo, ni kuhakikisha watu walioko kwenye msururu wanaisha kwanza."Naomba kuanzia leo tarehe 26 hadi Aprili mosi nishughulike na hawa waliopo kwenye foleni ili waishe kwanza,"alisitiza Mchungaji Mwaisapile.

Pia alipendekeza magari yanayokwenda Loliondo, yakaguliwe vizuri na mamlaka zinazohusika ili kuhakikisha kuwa a ni mazima na si malori.Alisema hiyo inatokana na ukweli kwamba barabara ni mbaya na mvua zinaendelea kunyesha.

Babu pia alitaka wagonjwa mahututi walioko mahospitalini, wasitolewe na kupelekwa kwake.Hali kadhalika, aliwataka wale wanaotumia dawa, kubeba dawa za kutosha wakiwa safarini na kwamba ushauri huo unakuja baada ya kubainika kuwa idadi kubwa ya watu wanapoteza maisham walikuwa na ugonjwa wa sukari na hawakubeba dawa za kutosha, wakiamini kuwa wangepata dawa haraka na kuondoka.

Katika tamko lake, mchungaji huyo amependekeza pia barabara ikarabatiwe na kuweka utaratibu mzuri utakaowezesha watu 2,000 kupata tiba na kuondoka kwa siku moja.Pia alitaka kuwepo kwa vituo vya kukagua magari katika maeneo mbalimbali ya barabara na kusimamia utaratibu ili watu wasikae katika foleni zaidi ya siku moja.

Mchungaji pia alipendekeza mazingira ambayo sasa yamechafuliwa sana, yasafishwe na kujengwa vyoo vya kutosha na kwamba hayo yafanyikw pamoja na kusogeza karibu huduma za maji.

Aliishauri serikali itengeneze maeneo ya kuwawezesha wagonjwa kupumzika wakati wakisubiri kupata tiba.Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro, imekuwa ikitoza kila gari linalokwenda Lolindo, ushuru wa Sh5,000 wakati helkopta zikilipiwa ushuru wa Sh 150,000 na inaelezwa kuwa fedha hizo ni za kugharimia huduma mbalimbali zinazotolewa na halmashauri hiyo.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ngorongoro, Benjamini Maziku, alisema hadi Machi 24 mwaka huu, watu 52 walikuwa wamefariki dunia wakiwa hawajapata tiba kwa sababu ya misururu mirefu.



Add this page to your favorite Social Bookmarking websites

</td> </tr> <tr> <td class="modifydate"> Last Updated on Monday, 28 March 2011 08:05 </td> </tr> </tbody></table> Comments

<center>123
</center>


-1 #43 Lily 2011-03-28 12:01 Mi nafikiri inabidi tuamini kwamba babu anaponya na ukiamini utapona tusianze kujipa mashaka kwani kama tunaamini Mungu yupo basi hakuna kitu kinashindikana chini ya jua. Mpango wa Mungu si kutuangamiza wanadamu. ukiangalia kwa mfano ugonjwa wa ukimwi ni kama umetengenezwa na hasa katika nchi za africa ili tuangamie sasa imetokea mtu ameonyeshwa tiba tunaanza kumtilia mashaka. maoni yangu ni kwamba tuwe na imani na tutapona
Quote









+1 #42 SINA 2011-03-28 11:53 [quote name="Bedui"]Hii inanikumbusha vitabu vya zamani vilivyochapishw a na Oxford. kuna story moja ya jamaa mmoja alikuwa na akili sana alikuwa akiitwa Abdul. siku moja alikuwa anjenga nyumba lakini hakuwa na materials yoyote. watu walikuwa wanamshangaa kweli Abdul amechanganyikiw a baada ya muda fulani akaitisha mkutano na wa sehemu ile na kuwaambia nyumba imekamilika na akasema hapo chumbani kuna kiti na chini ya kiti kuna viatu mtui mwenye dhambi hawezi kuviona. Kwa hiyo akaanza mtu wa kwanza akaingia ndani kaangalia huku na huku hakuona viatu akatoka nje Abdul akamuuliza umeviona viatu? Jamaa akajibu ndio tena vyeupe. Akamwambia wewe hauna dhambi. Wakafuata watu wengine wakatoa majibu hayo hayo kuogopa kwamba wataambiwa wana dhambi. Hatimaye akaja Mfalme. Abdul akamwambia humo ndani kuna koti na viatu ukiwa na dhambi hauwezi kuviona kwa hiyo akamwambia avue viatu vyake na koti lake hili avae vilivyopo ndani. Basi mfalme kuingia ndani hakuona kitu lakini kwa vile yeye ni mfalme akaogopa kuambiwa ana dhambi kwa hiyo hakatoka akamwambia Abdul viatu vimenitosha na koti limenikaa vizuri ingawa alikuwa tumbo wazi. Sasa mfano huu nafikiri unaikumba serikali yetu kutokana na Ujanja huu kama wa Abdul kwa sababu anakwambia ni imani sasa utathibitishaje kama ni dawa ya kweli. Serikali inabidi iwe makini katika hili kwani linaweza likaleta madhara makubwa baadaye. Serikali inasema haimani uchawi ni kwavile kunakuwa hakuna vitu vitakavyothibit isha kuwepo kwa huo uchawi japo jamii inaamini. Kina Kondoro wanaingia kundi la watu wa Abdul. Jamani imani haikatazwi ila pia serikali haipaswi kucatalyst hili kwa vile baadaye tutataka majibu kutoka kwao wakati huo wakiwa U>C>H>I kama mfalme. Hayo ni mawazo yangu[/quote

nakubaliana na wewe asilimia kwa sailimia kubwa. Kuishi kwingi ni kuona mengi.
Quote









0 #41 SINA 2011-03-28 11:50 Quoting maisha bora:
Kwa mtindo huu wa mawaziri na wakuu wa mikoa kuongozana kunywa kikombe cha babu maisha bora kwa lika Mtz ni ndoto ya mchana kweupe. Poor Tanzanians, sasa hivi wameshasahau matatizo yao na kupoteza mwelekeo wote kwa sababu ya kikombe. Hata mafisadi wanapotumia ndege na magari ya serikali kuwahi kikombe hakuna anayehoji. Watanzania tokeni kwenye usingizi!​
Kwa mfano hao wakuu wa mikoa wawili hapo pichani inamaana na pesa za wavuja jasho inatumika kisa ni kikombe basi watueleze wana matatizo gani hili wasichaguliwe kwenye uongozi kwa vile huyo babu anasema anatibu maradhi sugu kwa hiyo viongozi wote waliokwenda kwa babu wajiuzuru kutokana na maradhi yanayowasumbua nafikiri ndio maana wanashindwa kufanya kazi zao vizuri.
Quote









0 #40 Lukuna F 2011-03-28 11:50 Jamani jamani, tuache Mungu mwenyewe atatatuonesha ukweli wa jambo hili.
Quote









-1 #39 Benard 2011-03-28 11:35 Quoting Kimweri ye Nyumabi:
Quoting Isa:
Hizi ni njama za makfiri tu hakuna tiba yayote anayotoa zaidi ya utapeli, hakuna kafiri yeyote ambae anaoteshwa ndoto.​

Kafiri ni mtu wa namna gani!!Huwezi kuwaita watu wa Mungu makafiri kabla Mungu mwenyewe hajawaita hivyo.Tatizo wewe na imani yako mnajiona wasafi wakati ndiyo mabingwa wakutengeneza majini.Dawa anayotoa babu ingekuwa inatolewa na mtu wa imani yako asingekuwa kafiri.Acha kuhukumu usije ukahukumiwa.Ninachokiona kwako ni ukosefu wa elimu pana,soma mambo mengi sio kukariri lugha za wenzio na kuwaita watu makafiri.​
Quoting Beano:
Quoting muddu:
tusije kujuta baadae.Dawa hii inanipa mashakka.​
Quoting muddu:
tusije kujuta baadae.Dawa hii inanipa mashakka.​

mashaka yako binafsi hayatoi shinikizo la wenye matatizo yao kuacha kwenda. Naamini ungekuwa na mojawapo ya magonjwa yanayotibiwa huko, usingeulizia uhalali hapa, saa hz ungekuwa loliondo ukimuuliza kila anaerudi anajisikiaje.​


Yes bdo hajaumwa huyoooooooo.Quoting Kimweri ye Nyumabi:
Quoting Isa:
Hizi ni njama za makfiri tu hakuna tiba yayote anayotoa zaidi ya utapeli, hakuna kafiri yeyote ambae anaoteshwa ndoto.​

Kafiri ni mtu wa namna gani!!Huwezi kuwaita watu wa Mungu makafiri kabla Mungu mwenyewe hajawaita hivyo.Tatizo wewe na imani yako mnajiona wasafi wakati ndiyo mabingwa wakutengeneza majini.Dawa anayotoa babu ingekuwa inatolewa na mtu wa imani yako asingekuwa kafiri.Acha kuhukumu usije ukahukumiwa.Ninachokiona kwako ni ukosefu wa elimu pana,soma mambo mengi sio kukariri lugha za wenzio na kuwaita watu makafiri.​


wewe Unamwita bnadamu mwenzio kafiri...Je unalitambuwa JINA LAKO MBELE ZA HAKI? unamwabudu mungu wa mbingu ipi? inawezekana sio kosa lako MUNGU AKUSAIDIE SANA.
Quote









-1 #38 lilian Joseph 2011-03-28 11:26 sawa kabisa umempa ukweli anajifanya mjanja kumbe bongolala,kwa hiyo viongozi wasitibiwe huyu [NENO BAYA] kbsaaa, wana miili ya chuma au mshamba kabisa,kodi haihusu km hutaki kulipa kaishi nchi nyingine 2achie amani yetu.NINYI NDIO WADAKU WAKUBWA.Quoting Beano:
Quoting frank:
Kuna mambo kadhaa hapa ya kujiuliza!
2) nini ukweli kuhusu tiba hii??
3) viongozi wetu na wogonjwa wengine wanasumbuliwa na nini??
4) Je watu wanajua kwamba ile si kinga????
5) Kwa faida ya watanzania wengine ambao wanania ya kwenda kupata kikombe ningewaomba viongozi wetu watutangazie mafanikio waliyoyapata kbabu
tk kikombe hiki pia ni vyema watueleze magonjwa waliyonayo kwakua wanatumia kodi zetu kufika kwa babu!

hivi kuna ulazima wa kuhoji kila kitu? Ikiwa kiongozi anaumwa wapaswani kuujua ugonjwa wake kanakwamba u sehemu ya tiba au mshauri nasaha. wewe na kunicha mna ushabiki wa kutaka sifa mbele za watu. Kwa taarifa yenu, imani peke yake hata bila kunywa hicho kikombe inatibu. Kama mna dini fungueni vitabu vyenu mvisome ndio mjue jinsi ambavyo ni ngumu kubadili imani ya mtu mwenye shida kwa maneno ya kij nga na kujitia busara msizokuwanazo. Najua nia yenu ni kutaka kuonekana mna akili sanaaaaa kuliko watu wote walioko kwenye foleni pale.
Quote









-2 #37 karunde 2011-03-28 10:54 KWELI LOLIONDO TUNAENDA LAKINI NADHANI TUMEFIKA MAHALI TUMEJIUMBUA WENYEWE KWANI KILA WAZIRI NA WAKUBWA WENGINE HUWA HAWAENDIKWENYE HOSPITAL ZETU ZA RUFAA KUPATA TIBA KISINGIZIO NI KWAMBA TIBA ZETU NI HAFIFU,HATUNA VIFAA NA MADAKTARI WALIOBOBEA KUWEZA KUWATIBU,LAKINI SASA WAO NDIO WANAKWEPA FOLENI KUPATA KIKOMBE HIVI KWELI BABU NI ZAIDI YA MADAKTARI WA MUHIMBILI NA KCMC?
Quote









-1 #36 Beano 2011-03-28 10:54 Quoting frank:
Kuna mambo kadhaa hapa ya kujiuliza!
2) nini ukweli kuhusu tiba hii??
3) viongozi wetu na wogonjwa wengine wanasumbuliwa na nini??
4) Je watu wanajua kwamba ile si kinga????
5) Kwa faida ya watanzania wengine ambao wanania ya kwenda kupata kikombe ningewaomba viongozi wetu watutangazie mafanikio waliyoyapata kbabu
tk kikombe hiki pia ni vyema watueleze magonjwa waliyonayo kwakua wanatumia kodi zetu kufika kwa babu!

hivi kuna ulazima wa kuhoji kila kitu? Ikiwa kiongozi anaumwa wapaswani kuujua ugonjwa wake kanakwamba u sehemu ya tiba au mshauri nasaha. wewe na kunicha mna ushabiki wa kutaka sifa mbele za watu. Kwa taarifa yenu, imani peke yake hata bila kunywa hicho kikombe inatibu. Kama mna dini fungueni vitabu vyenu mvisome ndio mjue jinsi ambavyo ni ngumu kubadili imani ya mtu mwenye shida kwa maneno ya kij nga na kujitia busara msizokuwanazo. Najua nia yenu ni kutaka kuonekana mna akili sanaaaaa kuliko watu wote walioko kwenye foleni pale.
Quote









-1 #35 Beano 2011-03-28 10:48 Quoting muddu:
tusije kujuta baadae.Dawa hii inanipa mashakka.​
Quoting muddu:
tusije kujuta baadae.Dawa hii inanipa mashakka.​

mashaka yako binafsi hayatoi shinikizo la wenye matatizo yao kuacha kwenda. Naamini ungekuwa na mojawapo ya magonjwa yanayotibiwa huko, usingeulizia uhalali hapa, saa hz ungekuwa loliondo ukimuuliza kila anaerudi anajisikiaje.
Quote









-1 #34 karunde 2011-03-28 10:43 MTANZANIA ONGEA KITU UNACHOELEWA VIZURI KWANI DINI,UGANGA UNAOUITA WA KIENYEJI,UCHAWI NA SAYANSI VYOTE NIA YAKE NI MOJA KUONDOA MATATIZO YANAYOMKABILI MWANADAMU BALI LENGO NA NJIA ZA KUYAONDOA NDIO TOFAUTI.NADHANI NI KUSHAURI USOME MASUALA YA SOCIOLOJIA UONE WATAALAMU WANAVYOCHAMBUA MASULA HAYO YA SAYNSI,DINI NA KILE WENGI WANAITA UCHAWI
Quote









+1 #33 maisha bora 2011-03-28 10:39 Kwa mtindo huu wa mawaziri na wakuu wa mikoa kuongozana kunywa kikombe cha babu maisha bora kwa lika Mtz ni ndoto ya mchana kweupe. Poor Tanzanians, sasa hivi wameshasahau matatizo yao na kupoteza mwelekeo wote kwa sababu ya kikombe. Hata mafisadi wanapotumia ndege na magari ya serikali kuwahi kikombe hakuna anayehoji. Watanzania tokeni kwenye usingizi!
Quote









+3 #32 muddu 2011-03-28 10:37 tusije kujuta baadae.Dawa hii inanipa mashakka.
Quote









+3 #31 frank 2011-03-28 10:37 Kuna mambo kadhaa hapa ya kujiuliza!
2) nini ukweli kuhusu tiba hii??
3) viongozi wetu na wogonjwa wengine wanasumbuliwa na nini??
4) Je watu wanajua kwamba ile si kinga????
5) Kwa faida ya watanzania wengine ambao wanania ya kwenda kupata kikombe ningewaomba viongozi wetu watutangazie mafanikio waliyoyapata kbabu
tk kikombe hiki pia ni vyema watueleze magonjwa waliyonayo kwakua wanatumia kodi zetu kufika kwa babu!
Quote









+1 #30 karunde 2011-03-28 10:31 JAMANI KUSHAMBULIANA,K UITANA MAJINA NADHANI SIO NIA YA WALIOWEKA UTARATIBU HUU.NIA YAO ILIKUWA KUELIMISHA,KUPA SHANA HABARI NA TAARIFA MBALIMBALI.KWA NINI UMWITE MTU KAFIRI? WEWE UNAJUAJE KAMA SIO KAFIRI? KULE LOLIONDO WATU WANAENDA WENYEWE KWA UTASHI WAO NA IMANI ZAO,HIVYO KAMA PILIPLI ANAKULA MWENZAKO WEWE UNAWASHWA NINI?
Quote









+1 #29 samito 2011-03-28 10:28 Dawa ya Babu ni usanii mtupu na nitaendelea kusema ni usanii mpaka mtakapoamua kubadilika. HAKUNA ALIYEPONA, watu mnasikia tu na hamjathibitisha , NJOONI kwa YESU ni jibu zuri, unakunywa damu yake ya thamani kwa iman na mambo yako yote yanakuwa sawa, huyo babu mwenyewe anaogopa kulitaja jina la Yesu maana mambo yake yataharibika, Kuna MUNGU na miungu, babu katumwa na mungu wa dunia hii ambaye ni shetani... msikilizeni kwa makini watz wenzangu
Quote







<center>123
</center> Refresh comments list
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom