Kikombe cha babu ni zaidi, kansa yagaragazwa na Daktari bingwa Marekani abaki speechless !

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,756
Nimepata tetesi kuwa mgonjwa moja kutoka Marekani ambaye hakupewa nafasi yoyote ya kuendelea kuishi na madaktari zaidi ya watatu Marekani, hivi sasa kapona baada ya kupata kikombe cha Babu Loliondo. Huyu mgonjwa ambaye alisafiri kutoka Marekani akiwa kwenye kinachoitwa "wheel-chair" kwa kuzidiwa sana, karudi mzimaa na anatembea bila msaada wowote ule na kumwacha mdomo wazi daktari wake aliyekuwa anamtibu. Baada ya kuchukua vipimo vyote kama kawaida daktari hakuwa na kusema isipokuwa maneno yanayofanana na haya, "whatever it is that you are doing to your body, keep on doing it"

Kama tetesi hizi zitakuwa ni kweli basi Mungu aliyemwongoza Babu wa Loliondo lazima avuliwe kofia kwani huyu atakuwa mgonjwa wa kwanza kutoka nje ya nchi kupimwa kabla na baada ya kunywa kikombe na kuthibitika amepona. Pia nasikia mpaka sasa ameweza kutoa ushuhuda kanisani na mbele ya ndugu na marafiki zake waliokuwa wakimhudumia na kumpa msaada kwa wakati wote aliokuwa akiumwa. Namwomba kama kuna mwenye taarifa zaidi kuhusu tukio hili aendelee kutufahamisha zaidi, nawakilisha. Mods iacheni hii thread mpaka ithibitike kwanza ndiyo ihamishwe kama itakuwa lazima.

Kofia avuliwe Mungu
!
 
Mag3, Babu akikusikian atasikitika sana.

Kofia mvulie Mungu, Babu angependa useme hivyo.
 
Acha fixi!
Uongo wa Babu umekwisha kudhihirika. Hatuwezi kudanganywa tena. Kansa ya Marekani ndiyo ipone wakati waTZ wengi wenye Kansa wamepiga kikombe na kurudi tupu! Babu siku hizi hana wateja amerudia kazi yake ya Ujenzi wa nyumba (Source: Mwananchi 29.5.11 Picha Front Page). Kwa hiyo hii ni mbinu ya kupeleka wateja wapya kwake. Tumeshituka! Babu ni tapeli, apotelee mbali!
 
Wewe mbah...

Kwani hapa tz wengine hawajapona? Acheni fikira mkumbuke siku ikifika kila mtu na mzigo wake

Kaeni chini kupotezeana muda kama hauna imani kwa Mungu haupati kitu hata ukiita jina lake maishani mwako yote

Pia kaka uliyeleta tetesi ni vizuri ukaweka source ya habari yako kajapo ka link kama kapo au kusema umesikia wapi
Na sio kusema tetesi kama habari ni fact imetokea bora breaking news inaifaa hii

Praise the Lord!
 
Kama Mungu alimfunulia dawa ya kutibu magonjwa sugu haihitaji kuwa na imani ili kupona, kwakuwa wengi wamepona kwa imani kabla ya dawa ya babu na wanaendelea kupona na hata babu mwenyewe hafundishi kuwepo kwa tendo la imani kwa kila anayepokea tiba yake.

Kuhusu wengi kupona hilo labda wewe uweke uthibitisho hapa na sisi tufahamu ni wangapi wamepona na walikuwa wanaumwa nini, labda kwa taarifa yako mimi nipo Arusha na hapa ndipo yalipo makao makuu ya KKKT kanisa la Babu, hapa makao makuu walitoa gari kusafirisha viongozi wao na wengi wa viongozi wanamatizo ya sukari nk ila kwa taarifa yako baada ya kutoka huko hali za baadhi yao zimezidi kuwa mbaya kuliko awali - aliyekuwa anafuata diet tu ili kuishi sasa anatumia insulin na ukumbuke kwamba hiyo ni taarifa ya watu wachache tu ukikusanya ya nchi nzima utachoka.

Serikali kwa sasa inaogopa kutoa takwimu za ukimwi, kisukari na kansa zawale ambao zimewafuatilia sasa jiulize nikwanini, ila sikukatishi tamaa lakini huhitaji kuwa mtaalam sana kutafiti juu ya hili, hekima kidogo na elimu kidogo vyatosha.
 
Watu walichezewa kekundu
 
Nimepata tetesi kuwa mgonjwa moja kutoka Marekani ambaye hakupewa nafasi yoyote ya kuendelea kuishi na madaktari zaidi ya watatu Marekani, hivi sasa kapona baada ya kupata kikombe cha Babu Loliondo. Huyu mgonjwa ambaye alisafiri kutoka Marekani akiwa kwenye kinachoitwa "wheel-chair" kwa kuzidiwa sana, karudi mzimaa na anatembea bila msaada wowote ule na kumwacha mdomo wazi daktari wake aliyekuwa anamtibu. Baada ya kuchukua vipimo vyote kama kawaida daktari hakuwa na kusema isipokuwa maneno yanayofanana na haya, "whatever it is that you are doing to your body, keep on doing it"

Kama tetesi hizi zitakuwa ni kweli basi Mungu aliyemwongoza Babu wa Loliondo lazima avuliwe kofia kwani huyu atakuwa mgonjwa wa kwanza kutoka nje ya nchi kupimwa kabla na baada ya kunywa kikombe na kuthibitika amepona. Pia nasikia mpaka sasa ameweza kutoa ushuhuda kanisani na mbele ya ndugu na marafiki zake waliokuwa wakimhudumia na kumpa msaada kwa wakati wote aliokuwa akiumwa. Namwomba kama kuna mwenye taarifa zaidi kuhusu tukio hili aendelee kutufahamisha zaidi, nawakilisha. Mods iacheni hii thread mpaka ithibitike kwanza ndiyo ihamishwe kama itakuwa lazima.

Kofia avuliwe Mungu
!
Hili tangazo la Biashara lililipiwa?
 
Babu huyo ndy mpigaji #1 tz Hadi wizara ya miundo mbinu waliingia kingi huko....

Ova
 
dawa ya kansa ya kupata ipo mbagala tu hapo kwa ticha wa kemia Kutoka duce njoo pm utibiwe
 
Back
Top Bottom