kikombe atumiacho babu Alikiokota nyumbani kwake!!!!!!!

You are evil Miss Judith.....live your life and let others be.:bored::bored::bored:
 
i love those people my dear,

naumia kuona wanakimbilia kikombe kama vipofu bila kujua ni roho gani wanayoikimbilia

What is Love (1Cor 13)

Miss Judith!
If you call this is preaching of the word then your message is lacking the power of God that brings conviction unto those you preach onto.
There is a lot to preach about the Gospel (love, prosperity, repentance, healing, giving, evangelism, baptism, power of God etc). I wonder what kind of preacher are you, whose message have been "Loliondo" and "Loliondo" over and again. Mungu hajakupa message nyingine other than this??

Would also believe that your preaching might have been much effective if you could make a trip and camp near Mto wa Mbu, preach to all those who are enroute to Loliondo. Waambie hawana maarifa ndio maana wanaangamia, waambie kikombe cha babu ni cha kuokotwa, babu ni ajenti wa shetani n.k waambie ukweli maana utadaiwa iwapo watapotea ilihali Mungu kakupa wewe ujumbe wa kuwaokoa.
Nasema hivyo sababu many of us who are here (on keyboards) have no intentions of taking a sip yet can not condemn Babu and/or those who have received his ministry.

Marekani kuna wahubiri huitwa "Television Evangelists/Preachers", wengine utakuta hata hawana makanisa. Changamoto ya kuwa na kanisa ni kwamba utahubiri na kutakiwa uishi unachohubiri ili wafuasi waone kwa matendo kile unacho-preach.

Wewe una-fit kuwa "Internet Preacher"!!! Na ili mahubiri yako yawe na nguvu inabidi ujitambulishe kwa majina/picha yako halisi maana ni preacher gani asiyetaka kutambulika kwa awahubirio?
 
isije ikawa ni wafuasi wa Kakobe na mama lwakatare

wamekuja kwa kazi maaalum kurejesha kondoo mazizini mwao (sio kwa baba)
 
i love those people my dear,

naumia kuona wanakimbilia kikombe kama vipofu bila kujua ni roho gani wanayoikimbilia

Dont be too negative about the spirit behind him. Nobody is sure. Chamsingi, anaponya na watu wanahitaji uponyaji.
 
Miss Judith unahitaji kwenda kumsadia babu kugawa vikombe ili uyajue mambo mengi zaidi na iwe rahisi kwa wewe kuleta habari za babu maana unpenda sana.
 
sasa kinachotibu ni dawa?
ni kikombe?
ni babu?
ni Yesu?
hayo masharti ya kikombe hayatofautiani na mashahrti ya hirizi, wake up wapendwa!

Miss Judith mi niko na wewe,kuna utata sana kuhusu hili swala,babu anatumia jina la Yesu kuhalalisha dawa yake. Yesu mwenyewe alionya kuwa watatokea manabii wa uwongo,hao watafanya makuu ya kuwastaajabisha watu kwa jina langu(Yesu). Tatizo wakristo wengi hawasomi Biblia kwa umakini,wanarukia rukia aya bila kujali ujumbe hasa ni upi! Hizi ni siku za mwisho jamani.
 
...Judith, Wewe huna imani na anayofanya Babu basi baki na werevu wako kwa Amani.
Uache ule umati unamiminika kwa Babu kupata kikombe waendelee na Ujinga wao Kwa Amani.
It is Simple as That.
Why do you get so worked Over about Babu and his Kikombe? Why??? :noidea:

Lakini ni vyema tukaelezana ukweli,kukumbushana habari ya matukio ya siku za mwisho. Mambo ya kukaa kimya na kumwacha kila mtu afanye atakavyo haina maana. Ni lazima tuambizane,tuelimishane na tuonyane hasa katika swala kama hili linalohusisha mambo ya kiimani.
 
Miss Judith mi niko na wewe,kuna utata sana kuhusu hili swala,babu anatumia jina la Yesu kuhalalisha dawa yake. Yesu mwenyewe alionya kuwa watatokea manabii wa uwongo,hao watafanya makuu ya kuwastaajabisha watu kwa jina langu(Yesu). Tatizo wakristo wengi hawasomi Biblia kwa umakini,wanarukia rukia aya bila kujali ujumbe hasa ni upi! Hizi ni siku za mwisho jamani.

nakushukuru sana mkuu kwa kuliona hilo, wengi humu hawajapewa neema ya kuona hili ulilokwishaliona wewe.

Mungu akubariki sana
 
wat kind of mashart ar uu talking abt.kikombe cha babu hakina mashart bwana labd kama unajaribu kuyacreate mwenyewe
 
judith am with u on this, tatizo watz tuko desperate sana, there are no such shortcuts jamani

ukiingia kwenye molecular level ya haya magonjwa then uje kuangalia content na kikombe cha babu hupati logic hata chembe

hii kitu return yake watu watakuja kushika kichwa! mark my words
 
Mganga maarufu wa tiba za asili maarufu kama Dr. Francis Mwandulame wa Iringa amemjia juu babu kwa kitendo chake cha kuwahadaa watanzania kwamba amepewa ufunuo toka kwa Mungu. Gwiji huyo wa mitishamba anayetisha kusini mwa Tanzania amedai kuwa huo mti wa mugariga anaotumia babu yeye mwenyewe ameanza kuutumia kutiba watu maradhi mbalimbali kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Anasema kuwa alioteshwa na marehemu mama yake, na kwamba unapatikana pia huko Iringa. Hivyo amemtaka babu kuacha kuwadanganya watu kuwa mti huo ni ufunuo wa Mungu. Anadai kwa babu wa Loliondo haoni jipya zaidi ya kutangazwa sana na vyombo vya habari.

Katika hatua nyingine Mwandulame amevishutumu vyombo vya habari na serikali kwa kushiriki kumtangaza mganga wa tiba za kienyeji. Ameyashutumu magazeti, TV na redio kwa kumtangaza babu huku waganga wengine wakitozwa pesa lukuki kwa ajili ya matangazo. Pia ameishukia serikali kwa kuruhusu babu kujitangaza kutibu magonjwa sugu na hata kushiriki kumtangaza wakati waganga wenzake wa jadi wamezuiliwa kufanya hivyo. Ameonya kuwa kama hali itaendelea hivyo itabidi na wao waanze kujitangaza bila kufuata taratibu.
 
ni habari nzuri kwa wakati huu kwani itafungua wengi wanaodanganywa, na muda si mrefu kila kitu kitakuwa dhahiri

jina la Bwana lihimidiwe
 
wat kind of mashart ar uu talking abt.kikombe cha babu hakina mashart bwana labd kama unajaribu kuyacreate mwenyewe

ukisoma vizuri nukuu yangu utaona kuwa babu hutembea na kikombe hicho popote aendapo (labda hata chooni huingia nacho), hakiachi wala hakishikwi na mtu yoyote zaidi yake. na inaonekana hiyo dawa ikichotwa kwa kutumia kikombe kingine haitafanya kazi,
1. mungu gani huyu anayejifungamanisha na kikombe namna hii?

2. hiki kikombe sio hirizi?

tutafakarini kwa pamoja wapendwa

tazama naja upesi na ujira wangu u pamoja nami
kumlipa kila mtu sawasawa na kazi yake
 
Mganga maarufu wa tiba za asili maarufu kama Dr. Francis Mwandulame wa Iringa amemjia juu babu kwa kitendo chake cha kuwahadaa watanzania kwamba amepewa ufunuo toka kwa Mungu. Gwiji huyo wa mitishamba anayetisha kusini mwa Tanzania amedai kuwa huo mti wa mugariga anaotumia babu yeye mwenyewe ameanza kuutumia kutiba watu maradhi mbalimbali kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Anasema kuwa alioteshwa na marehemu mama yake, na kwamba unapatikana pia huko Iringa. Hivyo amemtaka babu kuacha kuwadanganya watu kuwa mti huo ni ufunuo wa Mungu. Anadai kwa babu wa Loliondo haoni jipya zaidi ya kutangazwa sana na vyombo vya habari.

Katika hatua nyingine Mwandulame amevishutumu vyombo vya habari na serikali kwa kushiriki kumtangaza mganga wa tiba za kienyeji. Ameyashutumu magazeti, TV na redio kwa kumtangaza babu huku waganga wengine wakitozwa pesa lukuki kwa ajili ya matangazo. Pia ameishukia serikali kwa kuruhusu babu kujitangaza kutibu magonjwa sugu na hata kushiriki kumtangaza wakati waganga wenzake wa jadi wamezuiliwa kufanya hivyo. Ameonya kuwa kama hali itaendelea hivyo itabidi na wao waanze kujitangaza bila kufuata taratibu.

NI wivu tu unawasumbua! Au mmeanza kukosa soko la dawa zenu zisizoponya? Waacheni watu wakapate kikombe bana!
 
Miss Judith mi niko na wewe,kuna utata sana kuhusu hili swala,babu anatumia jina la Yesu kuhalalisha dawa yake. Yesu mwenyewe alionya kuwa watatokea manabii wa uwongo,hao watafanya makuu ya kuwastaajabisha watu kwa jina langu(Yesu). Tatizo wakristo wengi hawasomi Biblia kwa umakini,wanarukia rukia aya bila kujali ujumbe hasa ni upi! Hizi ni siku za mwisho jamani.

Kwaninini tusifikirie kwanza hawa walioanzisha makanisa ya maombezi hivi karibuni ndo manabii wa uongo, tutumie hiyohiyo quotation ya biblia. Au wao ndo wamefunuliwa babu ni nabii wa uongo? Japokuwa tunajua babu siyo nabii, ni mchungaji mstaafu, Emestaafu siyo kwa sababu ya kugombana na wenzake kwenye kanisa, bali umri umekwenda !!
 
wat kind of mashart ar uu talking abt.kikombe cha babu hakina mashart bwana labd kama unajaribu kuyacreate mwenyewe

Sharti la kwanza - kikombe kimoja tu. Ukiumwa tena hata kama ni pressure imekula kwako, usirudi kwa mungu wa Samunge.
Sharti la pili - Tiba ni shilingi mia tano. Kama huna kifo ni halali yako
Sharti la tatu - Tiba inafanyakazi hapo kibandani kwa babu tu. Ukisogea pembeni tu kunywa hata kama una imani ni bure.
Sharti la nne - Dawa inatolewa kwa kikombe cha babu tu toka kwenye ndoo.
Sharti la tano - Dawa ukiiandaa kwa imani, ukainywa bila usimamizi wa babu ni sumu!
Sharti la sita - Ni mkono wa babu tu unaoruhusiwa kugawa dawa kwenye vikombe.
Sharti la saba - Mungu kampa hati miliki babu pekee duniani. Akiibuka mwingine ataulizwa alikuwa wapi siku zote mpaka amngoje babu.
Sharti la nane - Ukinywa unasubiri mpaka baada ya wiki tatu ndio uone kama umepona.
Sharti la tisa - Marufuku kwa babu kukiacha kikombe chake cha ajabu popote!
Sharti la kumi - AMINI KWAMBA KIKOMBE KINAPONYA!!!!

Ukikiuka masharti hayo hata kama una imani ya kung'oa milima, basi ujue imani yako haifui dafu mbele ya masharti haya.

Hiyo ni kwa wale wenye macho tu. Wengi wametiwa upofu, hawaoni mambo yaliyo wazi kabisa.

Jesus is Lord.
 
Kwaninini tusifikirie kwanza hawa walioanzisha makanisa ya maombezi hivi karibuni ndo manabii wa uongo, tutumie hiyohiyo quotation ya biblia. Au wao ndo wamefunuliwa babu ni nabii wa uongo? Japokuwa tunajua babu siyo nabii, ni mchungaji mstaafu, Emestaafu siyo kwa sababu ya kugombana na wenzake kwenye kanisa, bali umri umekwenda !!

" Yohana akamjibu, akamwambia,Mwalimu,tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako,ambaye hafuatani nasi; Tukamkataza,kwa sababu hafuatani nasi,Yesu akasema msimkataze,kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya muujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya kwa sababu asiye kinyume chetu,yu upande wetu" (MARKO 9:38-40)
 
Back
Top Bottom