Kikohozi cha Kibonde!!

Kwa kweli haituhusu ndugu kama unapenda kumsaidia embu mtafute,unless kuna taarifa unaitafuta kwa njia ya hii thread,
 
Topic closed,,mi nimejitolea kumpa tiba nyie mnanitafsiri visivyo.

Mi nimeinywe sana hiyo dawa saivi nibanji tena.
 
Yaani mwaka wa tatu unafungulia Clouds FM? Mimi nilishaacha zamani, ila akianza kukohoa niPM nifungulie leo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom