Kikioza kinatoa funz....

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Ningependa tu kujua kwakuwa kitu kikioza(dead body)kinatoa funza, je hao funza wakioza wao wanatoa nini???
 
Mbona majibu yanakuwa mengi, wengine wanadai hawaozi, wanatoa mbolea, na wao wanatoa funza tena, so which is which??
Lakin huyo alosema mbolea naanza kumwamini.,
 
Kwakuwa kitu kikioza kinatoa funza, logically funza akioza naye atatoa funza..
kama huamini muulize Kongosho, manake nasikia ana mabanda ya funza wa mayai na wa nyama..
 
it is a life cycle...mafunza wanakuwa nzi, mbu etc nao wanakufa, wanaoza, wanaliwa,wanakuwa dead body, wanakauka au kuoza.wanaweza kureproduce funza iwapo tu wataatract nzi waje na kutaga hapo.vinginevyo ni taka kavu
 
Back
Top Bottom