Kikao wapi jamani... mbona kimya mwenyekiti vipi

:nono::nono::nono: Si kuna ule upande wa pili kule kulia kama unaenda upande wa kule wanakotengeneza supu ya kitimoto

Hivi mpwa na baridi hii, ni bora jibaba uwe na eliza wako au utandike valuer??????
 
Nipatie mimi.
Hivi wale samaki wa pale nanihii hawahusiki leo?
Au Eliza wa jj amechakachua kwa manyaunyau

Big mi naomba tuanze kwa samaki si unajua tena jj kunakitimoto nami sili.... natamani kichwa tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom