kikao kamati kuu ya CCM

kisururu

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
331
93
Hello members,
Jamani kama kuna mtu anataarifa yeyote cha kilichojiri kwenye kikao hicho naomba updates
 
katika kujivua magamba wameona wameumia sana vdonda haviponi ss wanakaa kujiuliza hii njia cyo salama CCM mna kazi mtakaa mpaka makalio yaote sugu
 
kwanza mkakati wa kutitangaza kuwa wamevua magamba umeshindwa kuwasafisha wamezunguka kwenye ngome zao wamekwama.mbona awaendi walikopita cdm
 
Mkakati wowote unapojengwa juu ya msingi wa majungu na bila utafiti wa kisayansi huru, kama nyumba tu za mabua malishoni, ni sharti kufeli na kusambaratika ndani ya kipindi kifupi sana hata kabla ya kuanza.

Hayo mambo ya CCM wala yasiwaumize kichwa maana ghiliba zao zooooooooooote sisi Nguvu ya Umma tunaendelea tu kuwasoma akili yao kabla ya kujitokeza jumla kwenda kuwashika kule kusiko, nafuu wao wanafahamu sana hilo!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom