Nadhani kuna haja ya kuweka sawa baadhi ya mambo,
ifahamike kuwa kikao hiki si cha kisiasa,
kinawahusu wanairamba mashariki waishio dar es salaam. Mada kuu ni kutathimini mambo ya kijimbo na mustakabali wa miradi jimboni, pia kufahamiana.
Wazo zuri lakini ingekuwa ni busara zaidi kama tungesubiri M4C wapite kwanza kwenye jimbo la Mwigulu Michembe halafu ndio tufanye kikao chetu, ambapo ninatarajia mahudhurio yatakuwa ni mazuri zaidi.
kama ni hovyo kwa nini walete kwenye jukwaa la siasa kwani hakuna mahala pake?kwa kuwa tumesema kuwa kikao hakihusiani na mambo ya kisiasa direct, naona m4c haiwi subject ya kufanya kikao kukosa mahudhurio ya kutosha. Tufike hatimaye tuakuwa na cha kusema.
kama ni hovyo kwa nini walete kwenye jukwaa la siasa kwani hakuna mahala pake?
Mods kwa nini hii thread msihamishie kwenye jukwaa la matangazo ilihali mwenyewe aliyeleta hii thread kasema si ya kisiasa
Napenda kuwatangazia wana jimbo la Iramba magharibi waishio Dar es salaam kutakuwa na kikao msimbazi centre tarehe 16/9/2012 kuanzia saa tisa kamili ukumbi mpya ( MADA KUU ) kujadili masuala ya maendeleo ya jimbo letu. Kikao hiki sio cha kichama karibuni sana
Napenda kuwatangazia wana jimbo la Iramba magharibi waishio Dar es salaam kutakuwa na kikao msimbazi centre tarehe 16/9/2012 kuanzia saa tisa kamili ukumbi mpya ( MADA KUU ) kujadili masuala ya maendeleo ya jimbo letu. Kikao hiki sio cha kichama karibuni sana
Nadhani kuna haja ya kuweka sawa baadhi ya mambo,
ifahamike kuwa kikao hiki si cha kisiasa,
kinawahusu wanairamba mashariki waishio dar es salaam. Mada kuu ni kutathimini mambo ya kijimbo na mustakabali wa miradi jimboni, pia kufahamiana.
mkuu mpaka hapo tu tayari mwigulu hatashiriki maana yeye anaamini na anawaaminisha wapiga kurawake kuwa ccm na serikali yake imewaletea maendeleo. kama dondoo zakikao ndo hizo basi mwigulu hamtampata na mkimpata mjue atawavuruga hadi msijadili mlokusudia. VINGINEVYO WAZO NI ZURI NAMI NAWATAKIA MAFANIKIO MEMA.Nawatoa hofu wadau kikao si cha kichama hakifungamani na upande wa chama chochote ni mjadala wa maendeleo ya jimbo nini kifanyike kwani serikali imeshashhndwa .Elimu hoi,afya,maji,madini, kilimo na mengine mengi.FIKA UTOE MWELEKEO NINI KIFANYIKE
Mkuu hivi west ni mashariki?napita nitarudi