Wana Jf
Leo majira ya saa Tisa mpaka saa kumi jioni Mh Bernad Membe alikutana na Prince walifanya kikao cha Siri kwa zaidi ya saa moja na baada ya kikao chao hicho Membe alisikika akimpigia sim Bwana Mukama na kumuambia Tayari ameongea na Mpiganaji na atamueleza mzee kwahiyo asiwe na Shaka aongee na wanahabari asipate Shaka
Jukumu la kumuelewesha mzee ni la dogo kwahiyo aongee baada ya hapo dogo alitoka na baadae bosi wa Mambo ya njee alibaki
yaani wawe na ishu ya siri halafu ikaongelewe uwanja wa ndege? khaaa jamani mbona umbeya unaanza kuvuka mipaka