William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #101
- The more dataz ni kwamba Rostam, amekua mmoja wa wafadhili wakubwa wa CUF since 2000, kupitia kwa kiongozi mmoja wa kwa jina Jusa. Hii investment is about to pay back kwa Rostam, tena big time maana kampuni ya Ughaibuni iliyokuwa inatafuta mafuta tayari imeshaambiwa kufungasha virago, kumpa nafasi Rostam, kuleta kampuni yake itakayosimamia shughuli nzima from now on!
- Rostam again ndiye single handed according to the dataz, aliyempa Karume urais ndani ya CC kule Dodoma behind the scene, na wanaomfahamu kwa karibu wanasema Rostam could careless na Muungano, mbele ya opportunity ya biashara iliyopo hapa mbele yake! According to huyu mjumbe wa kamati maalum aliyenipa dataz ni kwamba kwa maoni yake 85%, muungano umekwisha labda itokee miracles ambayo kwa maneno yake, muungwana hana huo uwezo!
- Lakini pia bado kuna upande wa pili wa the coin huko visiwani yaani wanaotaka Muungano, na wao wamekua wakikutana kwa siri, bado tunajaribu kufuatilia zaidi, na ni kweli Msekwa amepelekwa huko leo asubuhi sana kwa private jet na hivi sasa ninapoandika bado yuko ndani ya hiki kikao cha kamati maalum!
(.....stay...tuned....!..bado tunatafuta yalisemwa ndani ya kikao na nani waliosema.....!)
Respect.
FMEs!