kikao cha mwisho cha kamati ya maandaliz ya harus ya charminglady na mtotosix

sweetlady,
mimi nilimueleza charminglady tangu awali kuwa yule fundi Mbawala anashonaga nguo huku akiwa bwaksi.
Ona sasa kashona kimini.
Na tarehe zimeisha jamani.
Kama vipi nitakuja na kipande cha kitenge aunganishe chini ya shela!!
Hata kama anatuhujumu tusifanye sherehe tutaifanya tu.
Lol!!!

usihangaike mwenyekiti wangu, kama vp ntavaa na skin jeans kwa ndani!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna shida bab lakini usije ukapigana maana mimi sitaweza kuvumilia kuona mtu ana kugusa!

Yaani siku hiyo hubby wangu,usisahau kubeba kile kiboksi cha First Aid,kiko juu ya kabati,
naona hali inakoelekea itakuwa mbaya.
 
Ashakuja nimemuona lol.....sasa mie wacha nipumzike kidogo afu ntarudi baadae kujua nini kimeendelea!
Madame B hakikisha ukiondoka humwachi bi harusi to be!......kuna watu naona washaanza kumkodolea majicho hapa!

me mwenyewe nshafuatwa hapa na my huz MtotoSix make tumechoka. kha harusi sio mchezo. mwenyekiti Madame B na katibu my lawyer ruttashobolwa ndo nimewaachia majukumu. ucku mwema. . .
 
Last edited by a moderator:
usihangaike mwenyekiti wangu, kama vp ntavaa na skin jeans kwa ndani!

NOOO!!!
Haiwezekani,
tumetenga si chini ya Mil.90,
Ukumbi Mlimani City,
wageni na wapiga picha ndani,
Halafu uonekane TBC Taifa kwenye Chereko eti Bi Harusi kavaa shela na SkinJeans??
Nitauweka wapi uso wangu mwenyekiti mie?
 
Last edited by a moderator:
Me naona gharama za suti na shera tuzichukue sisi wangu maana wasipo pendeza tuta laumiwa sisi!
Unaonaje wangu?

NOOO!!!
Haiwezekani,
tumetenga si chini ya Mil.90,
Ukumbi Mlimani City,
wageni na wapiga picha ndani,
Halafu uonekane TBC Taifa kwenye Chereko eti Bi Harusi kavaa shela na SkinJeans??
Nitauweka wapi uso wangu mwenyekiti mie?
 
Ashakuja nimemuona lol.....sasa mie wacha nipumzike kidogo afu ntarudi baadae kujua nini kimeendelea!
Madame B hakikisha ukiondoka humwachi bi harusi to be!......kuna watu naona washaanza kumkodolea majicho hapa!

Haya sweetlady,
wameshaenda kulala.
Ila kesho usisahau kuwakumbusha wanakamati.
Usiku mwema we na sweetie wako.
 
Last edited by a moderator:
NOOO!!!
Haiwezekani,
tumetenga si chini ya Mil.90,
Ukumbi Mlimani City,
wageni na wapiga picha ndani,
Halafu uonekane TBC Taifa kwenye Chereko eti Bi Harusi kavaa shela na SkinJeans??
Nitauweka wapi uso wangu mwenyekiti mie?

ucjali mwenyekiti km vipi tutanua ready made za weddingbells, achana na fundi mzushi. tena kanipotezea muda bure. . . BADILI TABIA ndo alinambia et ni fundi mzuri kha! nimekoma mie. . .
 
Last edited by a moderator:
:biggrin1: BAK ujue kua video tunaanzia wakati bibi harusi yuko salon akitoka hapo wakati anajitayarisha anapambwa na kuvaa weddin dress yaani hapo ni full mpaka anaingizwa kwenye gari.. Sa hamjatuambia harusi itafanyika kanisani serikalini au wapi?!! :happy:
 
ucjali mwenyekiti km vipi tutanua ready made za weddingbells, achana na fundi mzushi. tena kanipotezea muda bure. . . BADILI TABIA ndo alinambia et ni fundi mzuri kha! nimekoma mie. . .

Unaona sasa.
Kumbe nawewe ulitafutiwa fundi na BADILI TABIA.
Yule anaweza akawa amemwambia Mbawala akushonee kimini kweli??
Sidhani.
Au yule fundi alishawahi kukutokea ukamchomolea?
Funguka bi dada,
tarehe zimefika.
 
Last edited by a moderator:
:biggrin1: BAK ujue kua video tunaanzia wakati bibi harusi yuko salon akitoka hapo wakati anajitayarisha anapambwa na kuvaa weddin dress yaani hapo ni full mpaka anaingizwa kwenye gari.. Sa hamjatuambia harusi itafanyika kanisani serikalini au wapi?!! :happy:

Yani msikose kuja hyo tar 26 ndo mtajua mbivu na mbichi.
Na mkichelewa faini elfu 50/= cash!!
Na mtafute VideoPR nzuri,
hatutaki za magumashi.
Nenda ukalale tukutane kesho mtotowamjini
 
Last edited by a moderator:
napita pa wenyewe hapa haya kila la heri na maandalizi mema kama mnataka kadi na mengineyo kama hayo karibuni
 
Hello CL...Mie nitazuka

Last edited by a moderator:
Mbona siwaoni WakatindioSasa na St.PakaJimmy wameingizwa kwenye kamati gani?
 
Back
Top Bottom