kikao cha mwisho cha kamati ya maandaliz ya harus ya charminglady na mtotosix

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Last edited by a moderator:
Haya jamani wanakamati,
mwenyekiti ndio nawakumbusha tena.
Uonapo tangazo hili please,tafuta mwenzio uliepo nae kwenye kamati yako ili mjue jinsi ya kuwasilisha mambo yenu.
Na ole wake atakaekosa.
Faini elfu 50/=

Harusi hii hatutaki iende lelemama.
Tunataka tuwafunike waliotangulia.
Mwenyekiti nitavaa sura ya kinyago,sitacheka na mtu hyo tarehe.
 
Last edited by a moderator:
Wanajua kupamba Madame B .....afu mwenyekiti mbona mkali hivyo jamani?

Yani safari hii sitaki mchezo,
Nimesumbuliwa sana kwenye harusi zilizopita.
Yani siku hyo ya kikao nitabeba na bakora za kuwatandika wanakamati wachelewaji.
Haya waite haraka wakajadili ili siku hyo waje mazima.
Hima waeleze.
 
nakuaminia dats why nimekuteua uwe mwenyekiti!
 
Wanajua kupamba Madame B .....afu mwenyekiti mbona mkali hivyo jamani?

wahenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua. na sherehe ikiharibika lawama hutupiwa mwenyekiti. big up sana mwenyekiti wangu!
 
Last edited by a moderator:
Yani safari hii sitaki mchezo,
Nimesumbuliwa sana kwenye harusi zilizopita.
Yani siku hyo ya kikao nitabeba na bakora za kuwatandika wanakamati wachelewaji.
Haya waite haraka wakajadili ili siku hyo waje mazima.
Hima waeleze.

Hahahaha kweli charminglady wala hajakosea kukuweka kwenye hiyo nafasi ya uenyekiti lol!

Hii harusi lazima iwe ya mfano wa kuigwa.....wanakamati wote tuko fiti kwenye kila idara hivyo usiwe na wasi Madame B
 
Last edited by a moderator:
wahenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua. na sherehe ikiharibika lawama hutupiwa mwenyekiti. big up sana mwenyekiti wangu!

Afu nyani wa siku hizi wanakula mpaka mabua tehe tehe tehe! Unamvimbisha kichwa mwenyekiti ujue!
 
Yan charm amepatia sana kukuweka wewe mwenyekiti baby wangu maana we ni mzoefu alaf itabidi nikutafutie mlinzi kwa usalama wako!

Yani safari hii sitaki mchezo,
Nimesumbuliwa sana kwenye harusi zilizopita.
Yani siku hyo ya kikao nitabeba na bakora za kuwatandika wanakamati wachelewaji.
Haya waite haraka wakajadili ili siku hyo waje mazima.
Hima waeleze.
 
wahenga walisema ukicheka na nyani utavuna mabua. na sherehe ikiharibika lawama hutupiwa mwenyekiti. big up sana mwenyekiti wangu!

Tena inabidi siku hyo nivae na skintight kabisa manake nahsi kuna uwezekano wa kuzichapa huko Fyatanga.
charminglady hima...hima...,
sitaki mchezo hapa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom