Kikao cha kukutana na Kikwete Pretoria, chaahairishwa

Inasemekana kuwa amechelewa kuingia, wengine wanasema kuwa ameenda kwenye Birthday Party ya Mendela ya kutimiza 93. Mpaka sasa hivi sina habari ya uhakika. Kwa wanohesabu Safari zake watuambie hi ni No. ngapi? Kabla ua Kurudi na kwenda Mtwara kwenye Sikukuu ya Mashujaa 25 July 2011
Hilo nalo liweke kwenye list yako ya maswali utakayomuulizi mjomba, kuwa "mjomba hi ni safari yangapi kuzuru dunia?
 
Hii itakuwa mara ya 14 au 15 kama si kosei, tangu achaguliwe october 2011. Hajawahi kwenda kushukuru wapiga kura hata mkoa mmoja.

kwani hujui huwa awashukuru baada ya uchaguzi wa awamu ya pili maana hatakwenda kupiga magoti tena kwa wadanganyika. hiki sasa kwake ni kipindi cha kutosikiliza kero zetu bali kula dunia. ziku zote yuko juu ka mbayuwayu
 
Sioni tija ya mkuu wa nchi kutembea tembea nje ya nchi, wakati nchi ipo kwenye giza..ona kama leo maamuzi yameshindwa kufanyika..sababu yeye yuko kwenye pipa.
 
President Zuma to receive President Kikwete of Tanzania on a State Visit to South Africa. South African President, His Excellency Jacob Zuma will host His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania, who is undertaking a two day State Visit to South Africa. The visit, which is scheduled to take place from 18-20 July 2011, will include programmes in Pretoria and Cape Town respectively.

Source:Department of International Relations and Cooperation - South Africa
 
"Tanzania's Jakaya Kikwete, re-elected to a second term last year, will step down in four years. Hobbled with the reputation of a lazy, foreign-trip-loving president who is soft on corruption, Kikwete seems to be busy sprucing his image. Amidst signs that the long-ruling Chama Cha Mapunduzi is in the midst of a shake-up, Kikwete has been pushing some of the more controversial and scandal-tainted politicians off the cliff, or a few of them have saved themselves the humiliation and jumped."

Yale maneno ya mwandishi wa The East African yametimia tena. Sasa hivi JK yuko njiani kwenda Pretoria. Hat kuaga anaona noma sasa.
Kobello, upoo?
 
President Zuma to receive President Kikwete of Tanzania on a State Visit to South Africa. South African President, His Excellency Jacob Zuma will host His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania, who is undertaking a two day State Visit to South Africa. The visit, which is scheduled to take place from 18-20 July 2011, will include programmes in Pretoria and Cape Town respectively.

Source:Department of International Relations and Cooperation - South Africa

Sherrif asante kwa kutu-update No. za safari Vasco au Zee la Anga
 
Wakati nchi ikiwa gizani, na bajeti ya wizara ya nishati na madini ikikwama bungeni, Vasco dagama ameondoka leo kuelekea Africa kusini na atapata nafasi ya kuvinjari kisiwa maarufu alichofungwa mandela
 
ya ngapi hiyo?

Unaambiwa Safari zake zimempita Rais Mugabe wa Zimbabwe aliyekaa 30yrs kwenye Madaraka, yeye ndio kwanza 6yrs sijui Mpaka 2015 atatimiza ngapi. Process za Kumuingiza kwenye Guinness Book of Records zinakuwaje ili tu-apply na sisi tuone Mtawala wetu akipokea zawadi ya Guinness Book
 
Huyu jamaa ni record breaker, nadhani anataka kuweka record yake sasa,,!ol the best mjomba atleast uwe na chakujivunia aftet 10 yrs
 
Inasemekana kuwa amechelewa kuingia, wengine wanasema kuwa ameenda kwenye Birthday Party ya Mendela ya kutimiza 93. Mpaka sasa hivi sina habari ya uhakika.
Kwa wanohesabu Safari zake watuambie hi ni No. ngapi? Kabla ua Kurudi na kwenda Mtwara kwenye Sikukuu ya Mashujaa 25 July 2011
aisee! kumbe kweli? maana leo nilikuw ofisii fulani wakawa wanasema leo ni birthday ya mandela na mmoja akatania jk lazima atakuwepo............
 
Kulitakiwa kuwa na Kikao Cha Mh Kikwete kukutana na Watanzania waishio South Africa. Mkutano ulitakiwa kufanyika Sheraton Hotel, Pretoria saa 12 za Jioni. Nimesikitika sana kuhairishwa huo mkutano, ilikuwa nafasi yangu ya kuuliza maswali yalio moyoni mwangu kuhusu Taifa.
Mfuate huko huko kwenye gala leo usiku then mwulize
 
Hasira nilonayo hapa! Dadeki!
Sijui asubuhi naendaje kibaruani, labda nivae Tshirt na jeans.

Hakuna umeme siku nzima, usiku mzima, laptop ishazima, cm moja ishazima, nimebaki na mbu na charge kidogo! Damn
 
Back
Top Bottom