Kikao cha kamati ya ushauri (RCC) RUVUMA kinaendelea

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
1,147
512
Chini ya uongozi wa mkuu wa mkoa mpya Mwambungu kikao kinaendelea. Injinia Lamo anahoja sana ndani ya hiki kikao. Ana mtazamo wa kimaendeleo sana na mh. John Komba pia yupo na amesoma memo toka kwa Prof. J. Maghembe. Inaonesha wiki hii wakulima wanalipwa hela zao zote wanazoidai serikali. Kapten Komba anasema mkoa huu wa Ruvuma ni watiifu sana. Tukiruhusu wapinzani wajue mapungufu yetu wataleta vurugu kwa wananchi kwani wapinzani kasema hasa CHADEMA wataingia na hoja hiyo na kutuvuruga hapa mkoani. Mkuu wa mkoa kasema anaomba waandishi wa habari wasiandike hoja ya Komba kwani itawaamsha wapinzani... Kikao kinaendelea
 
Huo mkoa wa wapi wenye watu wa chama kimoja tu? Hakuna hata mbunge wa upinzani?
 
Back
Top Bottom