Kikao cha kamati ya Bunge ya maendeleo na jamii na wadau wa sanaa

...amemaliza na sasa nafasi inatolewa kwa wasanii kujadili na kuchangia
 
Deodatus Sangu...
Mwenyekiti wa chama cha filam tanzania
...Sijui COSOTA ipo kwa ajili ya NANI??
..Haitusaidii zaidi ya kutunyonya sisi. Hasa kazi zake zimekuwa zinafanyika na wadau wengine na siyo chama hiki...
...COSOTA haina bodi kwani iliyoundwa na Waziri Mary Nagu hatujui aliiundaje na alikiuka taratibu...
 
...Mkurugenzi wa COSOTA ndugu Yustus Mkiinga amekuwa anaonekana kwenye kutetea na kupromoti kampuni moja tu iitwayo STEPS ambapo hatujui kama ameajiriwa huko ama ameajiriwa na serikali kwa manufaa ya wasanii?
 
...Kampuni ya STEPS ndiyo pia imekuwa ni mwizi mkubwa wa kazi zetu na ndiye anayekumbatiana na COSOTA chini ya Mkinga
 
...Mashirikisho yaliyoundwa na BASATA yana hali mbaya kiuchumi, tunaomba ruzuku ili kuyanusuru...
 
Wakuu battery inakwenda chaji LOW.
Nitawajuza baadaye michango ya wadau...
 
Back
Top Bottom