Kikao cha jukwaa cha kufunga mwaka

nimefuraìa maisha toka nimejiunga hapa nawashukuru wanajamii wote

hongera, inaonyesha ni kweli umeenjoy sana hapa jf. Pia inaonyesha ni msomaji mzuri wa mawazo ya wengine (1099 thanks, 734 posts, tahnked 238/158). Ni hazina njema hapa jf. Keep going.
 
ee_meeting.jpg

MAADA ZA KIKAO.

1. NANI AMEKUWA MTOA MAADA MZURI (MAADA ZINAZO JENGA JAMII). KARIBIA WOTE WAMELETA MAADA NZURI.

2. NANI AMEKUWA MCHANGIAJI MZURI, MWENYE LUGHA NZURI NA ANAPASWA KUPONGEZWA?. SIWATAJI LAKINI KUNA WATU HAPA NI WAZURI MNO TENA SANA, NIMEJIFUNZA SANA.

3. JE NANI ANATAKIWA AFUNGIWE, ASIKANYAGE KABISA KATIKA JUKWAA LETU??. KAZI YA WAHUSIKA KUMFUNGIA MTU.

4. NI MAMBO GANI YAMEKUKERA KATIKA JUKWA HILI KWA MWAKA 2010.MATUSI, PICHA MBAYA ZILIZO PILITIZA, UKIZINGATIA UMRI HATUJUANI.

5. NI MAADA ZIPI UNAPENDA ZIRUHUSIWE KATIKA JUKWAA HILI KWA MWAKA 2011. ZOTE AMBAZO ZINAHUSU JUKWA LETU.

6. JE UMESAIDIKA KWA KIWANGO GANI NA JUKWAA HILI KWA MWAKA 2010?. SANA TUU,

7. JE NINI KIZINGATIWE ILI KUBORESHA JUKWA LETU KWA MWAKA 2011??
. NIDHAMU, HESHIMA KWA WENGINE, UPENDO.

hAAPY NEW YEAR.
 
Kuwepo training kwa wageni wanaokaribia jukwaani kila siku ili waendane na maadili ya jukwaa katika kuleta mada na kuchangia mada. Pili wanachama wapunguze kuanzisha topic nyingi kwa siku, mfano unakuta mwanachama mmoja anaanzisha topics kumi kwa siku, huyu hatufaia maana katika hizo topics kumi kwa siku ni mbili tu zenye tija kwa wanajamii.

Nawasilisha
Mokoyo
 
Wengi sisiyo wanasiasa wala wadini hivyo tupewe keycode tuwe tunajivinjali kwenye jukwa la mambo yakikubwa!!
 
This is my last post for the year 2010 i love you guys stay blessed. And happy new year 2011 kwa aliye Dar namkaribisha DOUBLE TREE HILTON HOTEL
 
Nimekuwa na uhusiano mzuri na marafiki zangu wenye upendo wa Agape,pia nimepata mkwe The Finest
 
mimi nimejifunza mengi kwenye masuala ya mapenzi,kutokana na u busy wangu,sikuwa mchangiaji mzuri.ila 2011 kila siku lazima nitapitia jf. Na nimejifunza w.me wengi ,wanapenda nyumba ndogo,kuwa na nyumba ndogo kwao ni jambo la kawaida kabisa.seriously nilikuwa nasikia hili neno katerero{msinione mshamba},kumuuliza mtu kwangu mimi ni mtu wa aibu nisingeweza,ila nilikuwa najua ni neno la asili ya kagera.nashukuru kwa kupitia humu,nimelielewa
 
kuwepo training kwa wageni wanaokaribia jukwaani kila siku ili waendane na maadili ya jukwaa katika kuleta mada na kuchangia mada. pili wanachama wapunguze kuanzisha topic nyingi kwa siku, mfano unakuta mwanachama mmoja anaanzisha topics kumi kwa siku, huyu hatufaia maana katika hizo topics kumi kwa siku ni mbili tu zenye tija kwa wanajamii.

nawasilisha
mokoyo

very important point
 
mimi nimejifunza mengi kwenye masuala ya mapenzi,kutokana na u busy wangu,sikuwa mchangiaji mzuri.ila 2011 kila siku lazima nitapitia jf. Na nimejifunza w.me wengi ,wanapenda nyumba ndogo,kuwa na nyumba ndogo kwao ni jambo la kawaida kabisa.seriously nilikuwa nasikia hili neno katerero{msinione mshamba},kumuuliza mtu kwangu mimi ni mtu wa aibu nisingeweza,ila nilikuwa najua ni neno la asili ya kagera.nashukuru kwa kupitia humu,nimelielewa

safi sana kisukari,, sasa hapo kwen bold, umeelewa na jinsi ya kulitenda? kama bado tuongeze shule kidogo
 
safi sana kisukari,, sasa hapo kwen bold, umeelewa na jinsi ya kulitenda? kama bado tuongeze shule kidogo

Mh...The Pope at work!!
My guess is-hapo unavolunteer kuyatoa hayo mafunzo ya vitendo sio...?!!
 
Back
Top Bottom