Kikao cha JE Saccos

hivi haya masakos ni madudu gani haswa, tunakuwa na shares au ? Ebu tujuze plz. Na kwa walio mbali, kama huku Serbia, masharti yakoje ?
 
Tunapenda kuwashukuru wanachama wote waliohudhuria kikao cha JE SACCOS kilichofanyika Hongera Bar Jumamosi ya tarehe 19-09-201, tunashukuru kwa michango, mawazo, ushauri na mapendekezo yenu changamoto zilikuwa nyingi pamoja na yote wote tuliweza kufikia maazimio naweza kusema hazina ya wanachama waliomo JE SACCOS ni kubwa, kwa mawazo na mapendekezo yaliyokuwa yanatolewa Jumamosi na wanachama JE SACCOS itafika mbali sana.

Pamoja Tunaweza.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Tunapenda kuwashukuru wanachama wote waliohudhuria kikao cha JE SACCOS kilichofanyika Hongera Bar Jumamosi ya tarehe 19-09-201, tunashukuru kwa michango, mawazo, ushauri na mapendekezo yenu changamoto zilikuwa nyingi pamoja na yote wote tuliweza kufikia maazimio naweza kusema hazina ya wanachama waliomo JE SACCOS ni kubwa, kwa mawazo na mapendekezo yaliyokuwa yanatolewa Jumamosi na wanachama JE SACCOS itafika mbali sana.<br />
<br />
Pamoja Tunaweza.
<br />
<br />
na sisi tunashukuru.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Tunapenda kuwashukuru wanachama wote waliohudhuria kikao cha JE SACCOS kilichofanyika Hongera Bar Jumamosi ya tarehe 19-09-201, tunashukuru kwa michango, mawazo, ushauri na mapendekezo yenu changamoto zilikuwa nyingi pamoja na yote wote tuliweza kufikia maazimio naweza kusema hazina ya wanachama waliomo JE SACCOS ni kubwa, kwa mawazo na mapendekezo yaliyokuwa yanatolewa Jumamosi na wanachama JE SACCOS itafika mbali sana.

Pamoja Tunaweza.

Kikao cha juzi kiligubikwa na MA GREAT THINKER, sitaki kusema sana. Njooni hiyo tarehe moja.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Samahan, tayari saccos ina exist au ndo taratibu za uanzishwaji bado zinafuatwa?
Kama tayari je, ni mpaka niwe mwanachama wa muda gani niweze kukopeshwa? Na rates zikoje? (yaani napaswa kuweka kiasi gani ili nikopeshwe kiasi gani?).
Please nisaidie jibu, nahitaji kujiunga.
 
Tuko katika taratibu za uanzishwaji wa JE Saccos, kwahiyo suala la kukopeshwa hilo naomba uliweke pembeni for the time being tunachofanya sasa hivi ni taratibu za kujisajili na kutuma michango ili Saccos iweze kusajiliwa rasmi kwa maelezo zaidi tunaweza kuwasiliana kwa email ifuatayo jesaccos.tz@gmail.com
 
Back
Top Bottom