Kikao cha Halmashauri kuu ya NCCR-Mageuzi

Kwahiyo bado ni mwanachama wa NCCR..? ni sababu zipi zimekufanya ubadili uamuzi na kuamua kurejea..??

Ndio, ninaendelea kuwa mwanachama wa NCCR-Mageuzi

Kurejea kwangu chamani ni matokeo ya suluhu iliyopatikana katika kikao changu na ujumbe wa chama ulionifuata kwa nia ya upatanishi/usuluhishi
 
Sasa ,na Zitto atapewa nafasi gani? kwani nae yupo njia no. moja.Tatizo la vyama vyetu ni madaraka,kila mtu anataka awe fulani,jamani sio siasa hizo,kwani kafulila na danda wangebaki chadema wangekosa vyeo,pia na o nccr hizo nafasi zilikuwa wazi? au ndio wametimua watu.yaani hata mwezi aujapita mwanachama mpya anapewa madaraka makubwa kwenye chama.jamani tuwe makini na siasa za chuki.
zitto hupo????????????
 
Naomba uzingatie mambo mawili/matatu haya;

Mosi, mojawapo ya matatizo yanayovikabili vyama vya mageuzi nchini Tanzania, ni ukosefu wa rasilimaliwatu. Kwa sababu hiyo, wachache waliojitoa kuwa katika vyama hivyo wakihama (sizungumzii kuhamia CCM) hupewa shughuli ya kufanya kirahisi sana. Kumbuka watanzania wengi hawako katika vyama vya siasa, idadi inayofuatia kwa wingi iko CCM kwa sababu za kihistoria na kimaslahi.

Pili, ndani ya vyama vya siasa kuna kazi tele ambazo si lazima aenguliwe mtu fulani ndipo nafasi ipatikane. Zipo nafasi ambazo ni fixed kikatiba, matharani uenyekiti, ukatibu mkuu, uhazini, na nafasi nyingine za kupigiwa kura. Lakini kwa kuwa katiba (mfano ya NCCR) inampa mamlaka Katibu Mkuu kuteua mtu kwa ajili ya kazi fulani ambayo yeye Katibu Mkuu anaweza kuibuni, basi ndio maana unaona watu wanapewa kazi katika utaratibu huo.

Tatu,Zitto hajawa bado na mpango wa kuhamia NCCR-Mageuzi.
 
Back
Top Bottom