Kikao cha Dharura JK 'mawaziri na makatibu wakuu

fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
3,273
4,626
Jk amewaita mawaziri wote na makatibu wakuu Dodoma katika kinachoitwa kuokoa jahazi. Je tutafika kwa stahili hii ya zimamoto?
 
fisi2 hebu jaza nyama basi anakutana nao kwenye 88 Nzuguni au St Gasper au Ikulu Chamwino ni nini hasa hizo tuhuma za Nishati na Madini au wanataka kutuwekea Mgawo wa Umeme (Tanesco) fafanua kinachoendelea
 
tufuatilie pamoja nimepata toka ndani ya katibu mkuu wizara ya 'udongo'. Wameitwa ghafla. Mkuu katangulia kupitia Manyara zen Ddma.
 
Kwani kuna tatizo gani kuwaita? si ni wasaidizi wake wakuu? Jee angewaita dar ingekuwa hoja?
Let us not be pre-emptive as we have a lot of issues to ponder about
 
jamaa wameisha jitwalia ziwa nyasa lootee sisi tunabaki kujadilii kujadili weee wakati rais wao mwanamama shupavu kweli kweli hataki kabisaa kusikia kitu chochote kinachoitwa majadiliano ya 'kugawana lake nyasa yao'
 
Kumbe wafugaji wakipata njaa wanapewa ng'ombe?sasa na ule ukame hao ng'ombe watakula nini??majani na mazao yamenyauka kabisa!!
 
Haya majukwaa siku hizi mbona siyaelewi elewi! Mtu akijisikia kupost ana post tu bila kuwa na source ya kueleweka,haya bwana liwalo na liwe!
 
Source ni mhimu sio mtu anatililika tu, JF sio udaku ni issues na facts
 
Back
Top Bottom