Kijiji kizima kujiunga na CHADEMA Jumatano hii

Simanjiro kuna vijiji mia moja na alobaini sasa ni kipi ambacho kinahamia au porojo zako tu hapa
Ama kweli we ni ,,Fisadi Mtoto". Manake hata kiswahili hujui!!!alobaini ndio nini?au ulikuwa na maana arubaini we ni Gabachori au Msomali?

 
JK ana ngozi ngumu. hotuba yake ya jana jijini Tanga itapunguza wanaoondoka na kuongeza wanaorudi, kama kweli atatekeleza yale aliyoyasema. Tusubiri hadi jumamosi tuone mwelekeo ukoje.
 
"Ndugu wananchi ubunge siyo utendaji, ni uwakilishi tu ndio maana unaweza kukaa bungeni muda wote wewe ni kusinzia tu,".Stephen Wassira, 7th October, 2010 katika kampeni,Bunda.

Nimeipenda sana hii mkuu!!
 
Mjukuu wa bibi Pili haya leo ni Jumatano hao wanakijiji wameshahama?
 
Last edited by a moderator:
Taarifa nilizopata hivi punde,maandalizi ya kukihama chama cha mapinduzi na kujiunga na chadema kwa wanakijiji cha Ngage katika tarafa ya Ndesisi ndio yanaendelea hivi sasa na yapo hatua za mwisho kabisa.

Siku penda kuweka jina la kijiji mapema maana hawa magamba hawachelewi kwenda kufanya Lobbing wakavuruga mpango mzima lakini kwa sasa wamechelewa.tutaendelea kufahamishana.
 
Kwa mujibu wa taarifa kwa Noah Lazaro Mole ambaye ni mratibu wa shughuli hiyo ya kuwapokea wanakijiji hao zaidi ya 100 akiwemo mwenyekiti wa kitongoji cha Ngage, Mandilei Nelita zoezi hilo limeharishwa baada ya kutokea msiba wa ghafla wa ndugu wa mwenyekiti huyo na hivyo zoezi hilo limesogezwa mbele hadi jumatano ijayo.tuendelee kuvuta subira tutaarifiana zaidi.
 
Back
Top Bottom