Kijiji cha senge mkoani ruvuma.

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Mgombea alienda katika kampeni za Uchaguzi kwenye Kijiji cha SENGE mkoani Ruvuma.
Salamu ikawa hivi:

"Mwenyekiti na Katibu wa SENGE.............. ............... .
Ndugu Wananchi wa SENGE.......... ............... ......

... Vijana,Wazee na Watoto wooote wa SENGE.......... ..........
Mabibi na Mabwana wa SENGE.
Habari zenu.."
#Watu Kimyaaaaaaaa..
Akaendelea,"wa SENGE Oyyeee!"
Wananchi,"Mwenyeweeeeeeeeee"..!
 
Nahisi kama vile na wewe unatokea SENGE, kama unatokea huko bila shaka na wewe utakuwa m-SENGE, Haha ha ha ha ha ha a haaaaah!
 
Mgombea alienda katika kampeni za Uchaguzi kwenye Kijiji cha SENGE mkoani Ruvuma.
Salamu ikawa hivi:

"Mwenyekiti na Katibu wa SENGE.............. ............... .
Ndugu Wananchi wa SENGE.......... ............... ......

... Vijana,Wazee na Watoto wooote wa SENGE.......... ..........
Mabibi na Mabwana wa SENGE.
Habari zenu.."
#Watu Kimyaaaaaaaa..
Akaendelea,"wa SENGE Oyyeee!"
Wananchi,"Mwenyeweeeeeeeeee"..!

Safi sana, imetulia...
 
kaka pale lushoto kuna shule ya msingi inaitwa mbula kwa wachaga si shughuli hiyo
 
Wana JFwa Senge mpooo!! Oh sry namanisha mliotokea kijiji cha senge, teh teh.
 
Tabora, wilaya ya nzega kunashule ya msingi inaitwa jina hilo, hiyo shule ipo karibu na kijiji kinaitwa mwamala.

Hahaha mkuu umenikumbusha mbali saana,mimi nimesomea Mwamala,senge ipo karibu na mwamala,nakumbuka wakati huo wanafunzi wa Senge walikuwa wanakuja kwenye Umitashumita,basi ilikuwa siku ya kufunga,utasikia Walimu wa senge na wanafunzi ******* mnaombwa kukaa upande wa huku,hahahha hapo sisi watoto wa kiswahili sio kuvunja mbavu,lakini kiaina maana kuna maticha walikuwa wapenda sifa wakiona unacheka lazima watakutolea mfano tu,hahaha miss home hakiyanani!
 
Back
Top Bottom