Kijarida cha ::"Kumekucha":: Serikali yajitahidi Kuokoa Mkataba wa UDA

Mwanakijiji,

Asante kwa jitihada zako za kijarida cha Kumekucha! This is yet another big step! Aluta Continua!! Nina ombi moja tu, naomba uhariri uzingatie aina ya font (font face) angalau kuwe na uniformity...Juzuu hii ya Toleo hili la kwanza, umeweka fonts za aina kadhaa....
 
View attachment 34832
Tuko katika majaribio ya kurudi kwa mbwembwe zaidi na kijarida kipya kuelekea 2015. Kijarida cha "Cheche za Fikra" kilikuwa ni nuru ya kutupeleka 2010 na kilitoa mchango wake; kwa mashauri yenu, michango yenu na ukosaji wenu tunaka kuunganisha nguvu zote tatu (Jamiiforums, Fikrapevu na Wenu Mtiifu) kufanya kijarida hiki huru na cha bure cha "Kumekucha" kuwa sehemu ya mazungumzo ya kila wiki kwenye maofisi, migahawa, kwenye basi na popote. Na utafanya mema sana kama una uwezo wa kuchapa japo nakala moja au zaidi na kugawa bure... we do this part.. you do yours..

Kama halipo kwenye Kumekucha, then its NOT NEWS!

Hicho kijarida ni cha kidini? mbona kufungua tuu page ya mwanzo kabisa kushoto nimekumbana na msalaba?

Vipi? si ungetuambia tu kuwa unataka tukusaidie kusambaza misalaba! Unanshangaza.
 
Sijaona alama ya msalaba its just graphic, does it unnerve(sp) you ff ? If so why so ? If not why mention it ? Lakini hunshangazi honestly!
 
Safi sana mzee mwranakijiji
Hii itasaidia sana kwa wale walio sehemu ambazo mtandao hakuna....Pia kwa huu mgao wa umeme hii ndo solution ya kuwafikia wananchi wengi zaidi.

Ningekuwa namiliki chuo/university ningekutunuku Phd ya uzalendo.
 
Ni vizuri sana nakiprint sasa hivi na kinaanza kusambaa kwa wapangaji wenzangu na wengineo mtaani kwetu kwani wengi hawana access ya mtandao. WE SALUTE your efforts. Udumu.
 
Hakikisha printer na wino unaotumia ni wako na si wa tajiri yako!
siyo kila ukionacho ni msalaba, hebu angalia dirisha la chumbani kwako utaona alama ya msalaba au misalaba mingi imepishana. Si vizuri kubeza kazi za wengine kama kuna dosari msahauri na si kubeza au yanakugusa yaliyomo kwenye kijarida? SO mimi najitolea kesho naprint copy 10 na nitaingia nazo kwenye daladala na kutoa kwa atakeyehitaji kusoma. WINO NA PRINTA NI VYANGU MWENYEWE HAPA NYUMBANI.
 
Hakuna kitu kama hicho dirishani kwangu, labda sikutengenezesha mimi hili dirisha!

Sasa ule unataka kukataa kuwa sio msalaba? sema wazi.
 
Sijaona alama ya msalaba its just graphic, does it unnerve(sp) you ff ? If so why so ? If not why mention it ? Lakini hunshangazi honestly!

Its just graphics? Unanshangaza. That is an intentional designed cross. Labda humjui huyu mnkjj. Ni crusader namba moja, tena yuko mstari wa mbele kutaka Nyerere awe "Mtakatifu" kwa jema lipi?
 
<br />
<br />
u'er sick down

Kumekucha hatujaanza kuona leo ni muendelezo kwa wenye kuelewa. Mtawakamata hao hao.

Tena huwa havibadili majina, ni mafundisho yale yale ya Sunday schools. Does "Amka Kumekucha" rings a bell to you? if not, it does to me. Au "Awake". Ndio humohumo tu, hakuna kipya.
 
Karumekenge hati kwenda shule?
Mbona meremeta,kiwila amsemi chochote,au kwa sababu ni Idd simba.?
 
Sauti ya nyikani inasikika!

Trio venture means joint effort! please, count on me.
 
Hicho kijarida ni cha kidini? mbona kufungua tuu page ya mwanzo kabisa kushoto nimekumbana na msalaba?

Vipi? si ungetuambia tu kuwa unataka tukusaidie kusambaza misalaba! Unanshangaza.
Sometimes I do believe you dont believe in what you are saying......!!!

Anyway I still like you....

Following your argument christians should always hide when they see a moon
 
Hakuna kitu kama hicho dirishani kwangu, labda sikutengenezesha mimi hili dirisha!

Sasa ule unataka kukataa kuwa sio msalaba? sema wazi.

Ndio maana mnafeli Mitihani kwa sababu Mkiona alama ya Kujumlisha Mnafikiri Misalaba mnaacha kufanya matokeo yake mnafeli
 
Back
Top Bottom