Kijana wa mtaani asiye na kazi anakutaka kimapenzi...

gender-roles2.jpeg


Leo nataka kufanya utafiti mdogo kwa akina dada ambao hawajaolewa. Swali langu ni hili:

Kwa mfano una elimu ya ngazi ya shahada na unafanya kazi nzuri yenye mshahara na marupurupu si haba, halafu inatokea mvulana wa mtaani ambaye hana kazi lakini ana elimu ya wastani ukilinganisha na ya kwako anakuomba uwe na uhusiano naye kimapenzi na anakuahidi kwamba lengo lake si kukuchezea bali kukuoa kama mkikubaliana….

Je utakuwa tayari kuingia katika uhusiano huo……………………?


Majority ya wanawake wa kinugu hiyo ndio style yao
 
Ndio hivyo....wanaume wanataka hata mkikaa Sebuleni inasomwa taarifa ya habari pale wote mnaona lakini angependa wewe umuulize kasema je eti....au sasa ndio nini hivyo wanamaanisha...basi akuelezee paleeee ndio furaha yake. Sio we uanze ooh unajua Ndugai shenzi kabisa kamstopisha Sugu leo bwana..unaanza kuelezea weee......atakupotezea.

Ila we anza hivi umemuona Leo Ndugai Bungeni alivyomuambia Sugu? Hapo muache akuelezee kama aliona/sikia na maswali muulize akujibu. hapo sasa dah life linakwenda.

Ohh eti umepita JF leo wakati hata Intenet hajui ni nini....na ikiwa amepita utasikia kwa nini? Kuna ile habari hivi hivi...muachie yeye aseme Ni mambo ya ajabu sana nchi hii.....kama pale hivi hivi...afu wewe hata ulichokielewa unakileta kama swali, sasa kama wamesema hivi, walikuwa na maana gani? Muachie ajibu....

NDO HULKA YA WANAUME hiyoo...we ukijifanya unajua anakupotezea tu au ukimbishia anakuambia Ina maana unaona mi kenge sikuelewa pale au?

Nakupa degree ya heshima ya filosofi!!!!
Dr LD!!!!
 
mmh!.............mimi siyo mdada nilyeko mawindoni ila naomba niseme tu ambacho ni angalizo kwa wakaka wasio kuwa na ajira. jamani kuolewa na mdada mwenye kazi halafu wewe jobless ni kudhalilisha sana utu wako manake binti anaweza asikunyanyapae ila wewe mwenywe ukajinyanyapaa.
gfsonwin wallahi tena nimekumiss sana
Upo?
 
Last edited by a moderator:
Sishauri mwanaume aliyezidiwa elimu au kipato na mwanamke awe na mahusiano nae, hasa hasa kwa hawa kizazi cha dotcom.
 
Back
Top Bottom