Kijana wa kiume fanya hivi kumvutia mwanamke ...

doh!!mi navutaa mafegi sio fegi maana ni moja mbiliii,nakunywaaa ulabu[tilalilaa]japo weekends spcl tu.kwa hiyo sivutiii warembo?
mi naonaaa ukitaka kumvutia mwanamke BE U NOT FAKE.aaaaaaaaaaah!!ilaa dreadlocks zangu kichwani na umachnooo umenifanyaa nimeowa mzungu[masai camp]


hahahahah mkuu na mpaka sasa hivi wapo na ukiweka etna na pale via via mambo yanakuwa super
Ila hivyo ni vigezo vyake bana kuna wengine hatuna hivyo ila tunakubalika tuu
 
Kwa hoja na maswali yule anakushinda
halafu mwambie naomba awe na ujasiri wa kudeclare interest kwa mtu anayeitwa Mr. Rocky ili kulinda heshima

Kaka hujanishawishi!! Unataka nishindwe kabla ya kuingia kwenye mpambano? No way bro mimi mpambanaji na muambie ajaribu atakuja kukusimulia!
 
Kaka hujanishawishi!! Unataka nishindwe kabla ya kuingia kwenye mpambano? No way bro mimi mpambanaji na muambie ajaribu atakuja kukusimulia!

Ashaogopa anataka kutangaza ushindi wa mezani eti wewe una maswali ya mtego so hataweza kuendana na speed yako
 
hahahahah mkuu na mpaka sasa hivi wapo na ukiweka etna na pale via via mambo yanakuwa super<br />
Ila hivyo ni vigezo vyake bana kuna wengine hatuna hivyo ila tunakubalika tuu
<br />
<br />
Mkuu nimeipenda sana hii!
 
hahahahah mkuu na mpaka sasa hivi wapo na ukiweka etna na pale via via mambo yanakuwa super<br />
Ila hivyo ni vigezo vyake bana kuna wengine hatuna hivyo ila tunakubalika tuu

We mwenyeji wa ViaVia?!
 
Ni mchakato kabambe wa jinsi ya kumvutia mtoto wa kike hususani ukizingatia umuhimu wao katika kukamilisha furaha yetu ,wengi wameishi kutafuta wana wake wepesi kuwamaliza au vicheche , japo hakuna fomular brothers hizi ni TIPS MAKINI

1 ) vaa upendezavyo kama kibonge usivae ma oversize vaa nguo zina kushika kiaina mwili , pia vaa rangi za kung'aa kama red ,njano au meusi ya
kupendeza .
2 ) kuwa msafi always

3)tumia low tone uongeapo na wakike.

4)sikiliza 60% ongea 40%.

5)simama ukitaka kumsalimia

6)kamwe usifanye jambo linalo ashiria hisia za ngono ,mfano kupekesha kwa kidole ,kukonyeza,badala ya kusema anabambataa sema ameumbika .

7)kuwa on time hata mabo ya kipuuzi ,mfano akiulizia movie mpe kwa muda uliotamka

8) kuwa mcheshi kwa rafiki zake kuzidi yeye.

9) wadau tuongezeane maujizzzz..............!
Nahisi wewe huwajui vizuri waischana au umezoea kutongoza mahouse girl...mtazamo wangu tu!!
 
Stail za kuwapata wanawake zinatofautiana na aina ya mwanamke. Mfano; mwenye kipato (au kipato kikubwa) vs asiye nacho (au mwenye kidogo), mwanafunz vs asiyesoma, aliyeolewa vs hajaolewa, Kahaba vs asiye kahaba, n.k

Pia inategemea kama unamtaka kama namna ya kukulipa fandila fulani au lah. mfano kumpa ajira, nafasi ya shule, au huduma fulani ya ofisini. Pia inatofautiana kama wewe wakati unapomtaka alikuwa ameshakupenda yeye (anaogopa kukuambia), au lah...

So, kijana cheza kutokana na mazingira...
 
Back
Top Bottom