Kijana wa kiume fanya hivi kumvutia mwanamke ...

<span style="font-family: comic sans ms">Alafu we sijui ticha? yaani kuwapa wenzio mtihani unapeeenda! Ni PM basi ntakuletea ngararimu nimekuja nazo!</span>!
Kama ulikuwepo vile...napenda kweli alafu wakati wa kusahihisha ndio kabisaaaaaaa!!

Mmh ngararimu nataka sana ila kukuPM naogopa sana!!!
 
Labda kama unaongelea watoto ambao hawasomi CBE, IFM au St Augustine ndo ntakuelewa.
 
zinasaidia kidogo
Ni mchakato kabambe wa jinsi ya kumvutia mtoto wa kike hususani ukizingatia umuhimu wao katika kukamilisha furaha yetu ,wengi wameishi kutafuta wana wake wepesi kuwamaliza au vicheche , japo hakuna fomular brothers hizi ni TIPS MAKINI

1 ) vaa upendezavyo kama kibonge usivae ma oversize vaa nguo zina kushika kiaina mwili , pia vaa rangi za kung'aa kama red ,njano au meusi ya
kupendeza .
2 ) kuwa msafi always

3)tumia low tone uongeapo na wakike.

4)sikiliza 60% ongea 40%.

5)simama ukitaka kumsalimia

6)kamwe usifanye jambo linalo ashiria hisia za ngono ,mfano kupekesha kwa kidole ,kukonyeza,badala ya kusema anabambataa sema ameumbika .

7)kuwa on time hata mabo ya kipuuzi ,mfano akiulizia movie mpe kwa muda uliotamka

8) kuwa mcheshi kwa rafiki zake kuzidi yeye.

9) wadau tuongezeane maujizzzz..............!
 
Kama ulikuwepo vile...napenda kweli alafu wakati wa kusahihisha ndio kabisaaaaaaa!!

Mmh ngararimu nataka sana ila kukuPM naogopa sana!!!

Ivi na wewe huwa unaogopa? Maana when i read you napata picha ya mwanamke jasiri sana sasa huku "kuogopa" mh! i dont think so.
 
Du wakubwa nimejifunza mengi ingawa vingi nimejaribu but still niko single
 
<span style="font-family: comic sans ms">Ivi na wewe huwa unaogopa? Maana when i read you napata picha ya mwanamke jasiri sana sasa huku &quot;kuogopa&quot; mh! i dont think so.</span>

Hehheh....naona Mr Rocky hapo juu kanisaidia tayari.Yani naogopa kwa niaba yako....
 
Usijali maswali best kama atanishinda kwa hoja pouwa tu nipo tayari!

Kwa hoja na maswali yule anakushinda
halafu mwambie naomba awe na ujasiri wa kudeclare interest kwa mtu anayeitwa Mr. Rocky ili kulinda heshima
 
doh!!mi navutaa mafegi sio fegi maana ni moja mbiliii,nakunywaaa ulabu[tilalilaa]japo weekends spcl tu.kwa hiyo sivutiii warembo?
mi naonaaa ukitaka kumvutia mwanamke BE U NOT FAKE.aaaaaaaaaaah!!ilaa dreadlocks zangu kichwani na umachnooo umenifanyaa nimeowa mzungu[masai camp]
1. Nitake radhi kwa kunipa option feki na ya kunidhalilisha
2. Kama wewe ni me then nakupongeza kwa utafiti makini maana nilitaka kujua kama unaongea from your personal experience (of being in that sexual category) kumbe ulipasi mtihani mahali fulani na sasa unatuelimisha...... lol. tutajitahidi.... Nasikia pia kama unavuta Fegi ndo sumu kabisa hawa viumbe (walio wengi) hawamaind.
 
Back
Top Bottom