Kijana wa kiume fanya hivi kumvutia mwanamke ...

mie nimependa NO.2 sana

ila kumbuka si rahisi kumfurahisha kila mwanamke...

kuna wengine ulichosema(baadhi) hapo juu hawavitaki..
 
Mapenzi ya kweli utoka moyoni ila pesa nichachandu ya mapenzi. Sasa we fata izo tips zako thn ATM imenuna ndo utajua tips na pesa yupi mkweli,
 
Hizo Choclate huwa mnaleta wenyewe. Even money sometimes hatuombi. I once had a Boyfriend, He once gave me 500,000/= eti nikanywe chai.!!!
 
unawaza tu kuwavutalia wanawake kitandani, heby fikiria kuboresha maisha ya Mtanzania asiye na chakula, maji, umeme wala mafuta

Umelazimishwa kuchangia? Unafikiri kila mtu anamawazo kama yako....moral authority ya kuwapa direction ya michango ya watu....umeitoa wapi?
 
unawaza tu kuwavutalia wanawake kitandani, heby fikiria kuboresha maisha ya Mtanzania asiye na chakula, maji, umeme wala mafuta
wewe nazjaz umelazimishwa kuchangia? kwani hujui hii ni sehemu ya mapenzi na raha zake! mambo ya uchumi nenda kwingine utapata wenye hasira za maendeleo kama yako! hata wenye njaa somalia wanafanya mapenzi ndo manake watoto wenye utapiamlo wapo wengi saaaaaana!
 
Mkirua nimekumiss
Ile chocolate imeisha bana niletee nyingine
Speaking from the point of view and unexperience one

Kaka si wajua tena looong weekend lazima tuende mndenyi?? Apo kwenye Red .... umeniwacha!
 
Namba nane na moja kwangu hapana aisee,mnene avae loose kidogo, pia rangi za kung'aa mwanaume wapi na wapi,yaani unijie kama jimmy kerry kwenye THE MASK, kwa kweli hapana

Marafiki zangu uwachangamkie kuliko mimi, nitakununia mpaka utajuta, napenda uchangamfu wa kawaida tu, kuwaongezea tu msipende kujisifu vya kijinga, pia unyunyu uwepo wa maana
 
Kaka si wajua tena looong weekend lazima tuende mndenyi?? Apo kwenye Red .... umeniwacha!

Mndenyi ni lazima maana weekend inakuwa mwake sana
Hapo namaanisha anaongea kutokana na kile alicho nacho kw awakati huo na uzoefu unaweza kuwa ni kidogo sana kwenye haya mambo
Umemuona Lizzy wivu umemjaa mpaka anashindwa kusema
 
Back
Top Bottom