Elections 2010 Kijana, piga kura 2015, leta mapinduzi tanzania

mzungukichaa

Member
Nov 8, 2010
57
27
Tunajua hali halisi ya yaliyotokea Tanzania kwenye uchaguzi wa 2010 . Lakini naamini vijana wengi pia hawakuwa wamejiandikisha kupiga kura 2010 hivyo kukosa fursa ya kumchagua kiongozi waliyempenda na aliyeshinda(Japo walichakachua). Tuchukue hatua sasa kudai fursa ya kujiandikisha kupiga kura mapema ili 2015 tushinde kwa kishindo. Maana wamezoea hawa kufanya mambo wakati wa mwisho mwisho au wakati usio muafaka ili watu wengi washindwe kujiandikisha.
 
Back
Top Bottom