Kijana mmoja auawa katika kamatakamata Zanzibar

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=1][/h]Visiwani Zanzibar operesheni ya kuwasaka wale wanaovuruga amani bado linaendelea.
0,,3555737_4,00.jpg
Mji Mkongwe wa Zanzibar

Wakati jeshi la Polisi visiwani Zanzibar likiendelea kuwasaka wahalifu, baadhi ya wananchi wamejitokeza kulalamikia juu ya operesheni hiyo ikiwemo ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na jeshi hilo uliosababisha kifo cha kijana mmoja akiwa mikononi mwa polisi. Polisi nalo linakanusha kuhusika na mauaji hayo. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Salma Said, amezungumza na wazee wa kijana huyo, Hamad Ali Kaimu, na kututumia taarifa kutoka huko. Na pia Sudi Mnette amezungumza na Kamanda wa Polisi wa Zanzibar, Mussa Ali Mussa, ambaye amekanusha kuhusika kwa jeshi lake. (Kusikiliza ripoti ya Salma Said na mahojiano ya Sudi Mnette, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mhariri: Mohamed Abdulrahman

[h=4]Sauti na Vidio Kuhusu Mada[/h]Bonyeza Sauti
[h=2]Sikiliza ripoti ya Salma Said kuhusu kamatakamata ya polisi Zanzibar.[/h]
[h=2]Sikiliza mahojiano kati ya Sudi Mnette wa DW Kiswahili na Kamanda wa Polisi wa Zanzibar, Musa Ali.[/h]
 
tatizo ni kuwatafsiri polisi kama mashine,nao hawa ni watu bwana,sasa wakiwadekeza wahalifu ndo pale unakuta wanawawa wao.lazima tujue kamba kazi ya polisi ni kazi yenye dilema njingi na ngumu
 
[h=5]Taarifa ambayo hadi sasa imetufikia ni kuwa maiti 4 ambazo chazo chake ni kipigo cha Polisi ziko Hospitali ya Mnazi mmoja ambazo jamaa zao wamezisusia na huenda zikazikwa na serikali kwani zimeharibika vibaya.[/h]
 
Taarifa ambayo hadi sasa imetufikia ni kuwa maiti 4 ambazo chazo chake ni kipigo cha Polisi ziko Hospitali ya Mnazi mmoja ambazo jamaa zao wamezisusia na huenda zikazikwa na serikali kwani zimeharibika vibaya.

Waombeni Uamsho wawazike, waliowapa kibri ya kuua askari Polisi.
Inaelekea na bado.
 
Si mmeanzisha wenyewe? Mnalalamika nini sasa? Lipizeni sasa kwa kwa kumuua polisi mwingine
muone cha moto..Takbiiiiir!
 
nyie si mlimchinja polisi na bado kibano zaidi kinakuja lazima muheshimu dola siku zingine
 
Taarifa ambayo hadi sasa imetufikia ni kuwa maiti 4 ambazo chazo chake ni kipigo cha Polisi ziko Hospitali ya Mnazi mmoja ambazo jamaa zao wamezisusia na huenda zikazikwa na serikali kwani zimeharibika vibaya.

POLICE!!!!! Kula vichwa vya WABURUSHI mazee!!!!!!
 
Hizo habari kama ni kweli zinasikitisha sana...lakini si nyinyi ndiyo mliokuwa mnasema mtawachinja maaskofu/wachungaji huko Zanzibar kama Farid asipoachiwa wakati ule alipokuwa ametekwa/amejiteka? Thamani ya maisha ni kubwa sana ndugu yangu...yawe ya askofu/mchungaji au mwanamuamsho...
 
piga mahesabu Polisi m1 anahudumia watu wangapi ? Kama ni kumi jua 6 wapo njiani ?
Kama zaidi mahesabu yawe haya haya ?
 
Source please. Kama ni kweli kwanini wananchi nao wasiwamalize polisi ikizingatiwa kuwa idadi yao ni kubwa kuliko ya hao wauaji? Au hili nalo linahitaji wafadhili?
 
Hizo habari kama ni kweli zinasikitisha sana...lakini si nyinyi ndiyo mliokuwa mnasema mtawachinja maaskofu/wachungaji huko Zanzibar kama Farid asipoachiwa wakati ule alipokuwa ametekwa/amejiteka? Thamani ya maisha ni kubwa sana ndugu yangu...yawe ya askofu/mchungaji au mwanamuamsho...

kwani nyinyi mlisema nini alipotekwa Dr. ???
 
kwani nyinyi mlisema nini alipotekwa Dr. ???
Ukweli ni kwamba, thamani ya uhai wa yule mnaemuita Kafiri ni sawasawa na hao watu waliouwawa, ni sawasawa na uhai wa yule polisi aliyechinjwa na wanauamsho...tafakari...
 
Ukweli ni kwamba, thamani ya uhai wa yule mnaemuita Kafiri ni sawasawa na hao watu waliouwawa, ni sawasawa na uhai wa yule polisi aliyechinjwa na wanauamsho...tafakari...

tyhamani ya uhai wa hao Chadema wanaochomwa mikuki kama nguruwe na CCM ni kama ipi??
 
tyhamani ya uhai wa hao Chadema wanaochomwa mikuki kama nguruwe na CCM ni kama ipi??
Kama ya kijana wa huyu baba...
[h=1]Mmemchukua yuhai mnamrejesha maiti?' Baba wa Hamad[/h]http://www.mzalendo.net/habari/mmemchukua-yuhai-mnamrejesha-maiti-baba-wa-hamad
 
killing under normal circumstances is immoral but when people are killed for the interest of the state is justified,NM
 
Waaache Wazile Maiti siku zote hana haki, na lazima atazikwa tu hata kama ni Jiji au serikali, hatuwezi kuona watu wanachezea amani na Upendo wa Tanzania then tuwaache, Big No let them die for their own Sake,
Taarifa ambayo hadi sasa imetufikia ni kuwa maiti 4 ambazo chazo chake ni kipigo cha Polisi ziko Hospitali ya Mnazi mmoja ambazo jamaa zao wamezisusia na huenda zikazikwa na serikali kwani zimeharibika vibaya.
 
Hiyo Movu nimeipenda , tulikuwa tulaum kuwa polisim wako wapi mpaka Uamsho wanafanya wanavyotaka Zenji sasa wameingia kazini, ye yote atakayejiona yuko juu ya Sheria lazima mkono wa Sheria Uwakumbe, hata kama ni Kupoteza maisha, ni sehemu ya Kazi, Sasa mnadhani zile Bunduki na risasi ni Mapambo, Hapanaa Chezea Polisi, Na Bara tunasubiri kesho
 
Back
Top Bottom