Kijana miaka 38 amempenda mwanamke wa miaka 44 leta maoni ya busara

Asante kwa mawazo mazuri sana mkuu. Ngoja na wengine wanipe mazuri kama ya kwako na nitayaweka vizuri kabisa kwake ilia baadaye asituletee matatizo ya mara mke vile mara hivi. Karibu tene kwa ushari baadaye mkuu. Umetoa mambo mazuri hapa.


hili nalo wazo zuri wa kimtazamo wa kiundani kidogo noted
 
mbona hata huyo nduguyo ni mzee ,hay mambo waambie binadamu hasomi maisha ya mtu mungu ndio anaijua kesho wewe unajua siku ya kesho?ambayo haikuwahi kuonekana toka mungu ameumba dunia so ,watu hapa wanakushauri kwa mazowea tu nakupredict future kama mungu vile,waambie wapige magoti wamwombe mungu ,ndie atayeweka vtu sawa assuredly4
epuka sana kutoa ushauri kwa mazoea maana mahusiano ni tofauti kabisa ,heshima ni mtu binafsi
 
Kama wamependana waache waendelea na uhusiano wao umri syo kigezo xana kwenye mapenzi
 
As Joel Osteen would say , " This could be her Isaac". Hii inamaana kila mtu ana aliyechaguliwa na Mungu, na labda ndo kampata. Cheki ya Mariah na hubby wake diff. its a matter of people NOT age.
 
Mie hapo sioni tatizo
Jamaa 38 naona nae anaelekea huko huko kwenye 44
aendelee tu ..madamu anampenda

Haswaaa!
Kujadili umri katika mahusiano kuna tija tu kama kuna mwenye umri mdogo sana.

Ukishavuka miaka 35 basi ule ujana wa kufanya watu wakutetee unapotea. Hii ni kwa wote wanawake na wanaume.

35+ na bado mtu yuko single, ina maana analijua analolifanya katika maisha yake.Kama ni kupitia mahusiano basi mhusika atakua ameshapitia vya kutosha na kuelewa karibu kila kitu. Hamna kipya kikubwa sana cha kujifunza.Kwa mantiki hiyo, mwanaume 38 na mwanamke kwenye 40s ni hiari yao na hakuna la ajabu. Waachwe wajiamulie maisha yao.
 
sioni mtoto mdogo hapo, 38 and 44 ni watu wazima waliokomaa kiakili na wanajua wanataka nini katika maisha yao. vile tu kwetu waafrika imekua kama sheria kua lazima mwanaume amzidi umri mwanamke lakini haiko binded. mimi sioni kwanini wasiwe pamoja kama roho zao zimeridhia.
kuhusu mtoto hayo ni majaliwa ya mwenyezi mungu maana hata wadogo pia hukosa watoto. miaka 44 sio umri wa kumkosesha mwanamke mtoto. wanaweza wakazaa "a very healthy bumping baby" kama wataamua.
 
Asante Mkuu Zion Daughter. Kwa kweli umri wa kijana ni matured kabisa na anajua anachokitaka. Ninachotaka ni mawazo ya busara ili nimpe nguvu ya kuendelea naye. Yaani positive tu maana sitaki kabisa kumpa negative maana ameshaamua.

NIngependa kujua kama huyo mama yeye alishawahi kuolewa,ana mtoto au hajawahi kuolewa na hana mtoto.kama alikwisha kwa nn aliachana na mume wake wa kwanza na kama hajawahi kwa nn mpaka anatimiza 44? ni mambo ya msingi kuyaangalia ayo nayo.
 
Na mimi nilitaka kusema hivyo hivo...wote wameshazeeka haijalishi nani kampita nani; kijana angekuwa kwenye 20s kweli...waache waendelee kumaliza siku zilizobaki duniani...Lol.


mbona hata huyo nduguyo ni mzee ,hay mambo waambie binadamu hasomi maisha ya mtu mungu ndio anaijua kesho wewe unajua siku ya kesho?ambayo haikuwahi kuonekana toka mungu ameumba dunia so ,watu hapa wanakushauri kwa mazowea tu nakupredict future kama mungu vile,waambie wapige magoti wamwombe mungu ,ndie atayeweka vtu sawa assuredly4
epuka sana kutoa ushauri kwa mazoea maana mahusiano ni tofauti kabisa ,heshima ni mtu binafsi
 
Kuhusu mtoto suala si kuzaa ila ni kuzaa mtoto wa aina gani...wale raha tu ya watoto wameshachelewa...

sioni mtoto mdogo hapo, 38 and 44 ni watu wazima waliokomaa kiakili na wanajua wanataka nini katika maisha yao. vile tu kwetu waafrika imekua kama sheria kua lazima mwanaume amzidi umri mwanamke lakini haiko binded. mimi sioni kwanini wasiwe pamoja kama roho zao zimeridhia.
kuhusu mtoto hayo ni majaliwa ya mwenyezi mungu maana hata wadogo pia hukosa watoto. miaka 44 sio umri wa kumkosesha mwanamke mtoto. wanaweza wakazaa "a very healthy bumping baby" kama wataamua.
 
nimesoma mada yako lakini ushauri wako kwake asikubali kumuoa huyo mwanamke kwasababu kuuzifuatazo-
1. Katika mahusiano umri una msingi mkubwa wa kudumisha au kubomoa ndoa, kwa kuwa mwanamke ni mkubwa kiumri mara nyingi mwanaume hawezi kupata heshima anayotakiwa kupata, kwani wakati mwingine atakuwa anamtreat kama mdogo wake badala ya kuwa treated kama mumewe. Hili litazusha ugomvi kwani wanaume hatupendi kudharauliwa.

2. Kipindi cha hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake wengi hukoma mapema, hivyo endapo atamuoa, muda si mrefu hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke huyo itakoma na ataona mwanaume anamsumbua atakapokuwa anadai tendo hilo. mwanaume akikosa haki ya tendo la ndoa kwa kunyimwa na mkewe haya yanaweza kujitokeza
(i) kumwamini mkewe kutapungua kwani atahisi ana mtu anatembea naye;
(ii) upendo kati yao utaondoka, utakuwa mwanzo wake kuchelewa kurudi au kutafuta mwanamke mwingine nje ya ndoa ili amtimizie haja ya tendo la ndoa;
(iii) ugomvi kati yao unaweza kutokea
(iv)uwezekano wa mwanamke huyo kumzalia mtoto katika usalama ni mdogo, sasa amefikia katika kipindi ambacho kitabibu haishauriwi sana mwanamke kuzaa katika umri huo, kikomo wanadai 45 years, yy yuko 44 mpaka wafunge harusi apate mimba akijaliwa na kuzaa unaweza kukuta ana 46-48 years
(v) wengi wa wananwake wa jinsi hii wamechezea ujana wao na wengine wana frustration zao, asije akahamishiwa hizo frustration na kupoteza future yake. mfano mpenzi wake aliyekuwa naye hadi yy akaingilia mahusiano ni vigumu kumuacha, wataendelea kuwa na mahusiano kwani mwanamke wa jinsi hii hawezi kumuamini yy kwa asilimia 100 kuwa atadumu naye,
(vi) mwanaume hadi kupungua hamu ya tendo la ndoa inakuwa amefikia umri wa miaka 70, sasa je ataweza kuhimili kuishi bila tendo la ndoa katika kipindi chote kilichobaki.
(vii) wanawake wa jinsi hii wana uzoefu mkubwa wa mambo mengi, yy atakapokuwa anaongea naye anaweza akadhani anaongea la maana wakati mwenzie anaona la kitoto, lini kitafuata, dharau na kujadiliwa barazani.

3. kwa kuzingatia hayo ndiyo maana mwanaume anashauriwa kumuoa mwanamke anayemzidi umri kuanzia miaka 2 na isizidi miaka 10. ukweli ni kuwa mwanamke akizaa anapoteza vitu vingi katika mwili wake, hivi kadiri anavyokuwa mdogo kwako ndipo anazidi kuendana na ww kadiri anavyozaa. kwa ushauri wangu umzidi miaka kati ya 3-5 tu that becomes reasonable

4. ili uweze kuwa baba na mwanamke akuheshimu unapaswa kuwa kiongozi na mshauri kwake. sasa kama yy anajua zaidi yako na ndiye anakuelekeza au kukushauri kila jambo, ubaba wako uko wapi?

nitarejea baadae, ngoja nijenge taifa

mkuu umeenda "dipu" mno mpaka aibu. jamaa akipewa ushauri kama huu hatooa huyo mwanamke,ingawaje kama tukichambua wenza wetu namna hii kabla ya kuoa hakuna atakayefaa kuoa au kuolewa.

umechambua kiundani utafikiri jamaa yuko ktk mchakato wa kuchagua CEO flani wa likampuni moja la ukweli la kimataifa!mambo ya ndoa hayako hivyo kiongozi...kama hauko ktk ndoa ukichambua hivi utakosa mwenza wa kuishi naye
 
Back
Top Bottom