KIJANA MAKINI Nape Kuiangamiza chadema Arusha Jumatatu

Status
Not open for further replies.

GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
716
292
Baada ya CCM kujisafisha na kuanza kukubalika sana kama enzi za Mwalimu, sasa kijana mwenye mvuto wa hali ya juu nchini tanzania Nape anategemea kufanya mikutano mikubwa mjini Arusha kuendeleza harakati. Nitawapa update.Nawasilisha
 
Tunamkaribisha Arumeru kwa mikono miwili!
Waje wasaidiane kuizika ccm Areumeru!
 
Baada ya CCM kujisafisha na kuanza kukubalika sana kama enzi za Mwalimu, sasa kijana mwenye mvuto wa hali ya juu nchini tanzania Nape anategemea kufanya mikutano mikubwa mjini Arusha kuendeleza harakati. Nitawapa update.Nawasilisha

Mkuu mbona unajichanganya kama mtu aliyejipaka kinyesi? Anaenda kuimarisha chama au anaenda kuangamiza CDM?
 
Baada ya CCM kujisafisha na kuanza kukubalika sana kama enzi za Mwalimu, sasa kijana mwenye mvuto wa hali ya juu nchini tanzania Nape anategemea kufanya mikutano mikubwa mjini Arusha kuendeleza harakati. Nitawapa update.Nawasilisha
Huyu ni NAPE karudi kwa kujificha ila tumemjua pole sana ila mjivue magamba kwanza
 
Hua sijifichi kama mtendaji wenu mkuu mwenye Ids kumi kidogo hapa! Hii thread aliyeanzisha ana ajenda yake niko Dodoma kikazi....

Mods ondoeni hii thread kwa sababu tayari Nape kajitokeza na kukanusha.
 
Hua sijifichi kama mtendaji wenu mkuu mwenye Ids kumi kidogo hapa! Hii thread aliyeanzisha ana ajenda yake niko Dodoma kikazi....
Nape.....

Kuna Sehemu ya ku Report Abuse hapo juu......Kama unaona Thread hii haikutendei haki na inalenga kupotosha/kukuchafua ibonyeze ili Mods waiondoe.....

Kila la heri katika majukumu yako huko Dodoma...
 
Hua sijifichi kama mtendaji wenu mkuu mwenye Ids kumi kidogo hapa! Hii thread aliyeanzisha ana ajenda yake niko Dodoma kikazi....
Bora umekuja kutoa clarification hapa!
siyo kama baba junior na mama junior walivyokuwa wanajikanyaga jana!
 
Baada ya CCM kujisafisha na kuanza kukubalika sana kama enzi za Mwalimu, sasa kijana mwenye mvuto wa hali ya juu nchini tanzania Nape anategemea kufanya mikutano mikubwa mjini Arusha kuendeleza harakati. Nitawapa update.Nawasilisha
Nataka kuelewa zaidi hapo kwenye red:
1.Kama CCM imejisafisha tunapenda kufahamu imetumia mbinu gani.
2.yepi yanaweza kuchukuliwa kama matokeo ya zoezi hilo.
 
Hua sijifichi kama mtendaji wenu mkuu mwenye Ids kumi kidogo hapa! Hii thread aliyeanzisha ana ajenda yake niko Dodoma kikazi....
Hahahaha Nape mimi wewe nishakutambua hata ujiite mfu. Huu oongo wanautumia sana wahindi. Ila angalia maana naona cheo chako anataka kuchukua nchemba. Unajua nini angalia maana mafisadi watakuzidi usipokuwa makini. Achana na sera za cdm safisha chama chako kwanza.
 
Baada ya CCM kujisafisha na kuanza kukubalika sana kama enzi za Mwalimu, sasa kijana mwenye mvuto wa hali ya juu nchini tanzania Nape anategemea kufanya mikutano mikubwa mjini Arusha kuendeleza harakati. Nitawapa update.Nawasilisha

Nani kakwambia anataka updates za magamba. Hakuna wanapokubalika, mwizi ni mwizi tu usimwamini katu eti amejisafisha. Kusamehewa ni pale atakaporudisha alivyoiba.
 
Nashangaa Mods wanaiacha Thread hii iendelee kuwepo hewani Ilhali NAPE ameshajibu kwamba haendi Arumeru ila yupo Dodoma kikazi.......

Mbona zile ntingine za Rejao na TII wamezifuta fasta???.....

JF bana.....
 
Baada ya CCM kujisafisha na kuanza kukubalika sana kama enzi za Mwalimu, sasa kijana mwenye mvuto wa hali ya juu nchini tanzania Nape anategemea kufanya mikutano mikubwa mjini Arusha kuendeleza harakati. Nitawapa update.Nawasilisha

Yani kama Nape ndiye Kijana pekee mwenye mvuto wa hali juu ndani ya CCM basi kweli CCM imekwisha!
 
Hua sijifichi kama mtendaji wenu mkuu mwenye Ids kumi kidogo hapa! Hii thread aliyeanzisha ana ajenda yake niko Dodoma kikazi.

Kwa hiyo Arumeru hutaenda kumnadi SIOI kisa ni zao la LOWASA? Kweli NAPE una wivu?
 
Nashangaa Mods wanaiacha Thread hii iendelee kuwepo hewani Ilhali NAPE ameshajibu kwamba haendi Arumeru ila yupo Dodoma kikazi.......

Mbona zile ntingine za Rejao na TII wamezifuta fasta???.....

JF bana.....
Acha kulalama bala,
This is how you guys cry like litle puppies!

Ume-report hii post?

Nape alishakana ID yake, nape Ana ID nyingine kibao tu!
Kama amechafuliwa au nyie die hard wake mnaona ameonewa
 
Kwa hiyo Arumeru hutaenda kumnadi SIOI kisa ni zao la LOWASA? Kweli NAPE una wivu?
Haya ndiyo mambo tusiyoyataka JF.......

Personal vendetta?.......

Nape tayari kakwambia yupo Dodoma kikazi.....Hayo ya kutomnadi Siyoi kisa ni zao la Lowassa na kuwa na wivu yanatoka wapi?....

Tusiishushie JF hadhi kiasi hicho wakuu......
 
Acha kulalama bala,
This is how you guys cry like litle puppies!

Ume-report hii post?

Nape alishakana ID yake, nape Ana ID nyingine kibao tu!
Kama amechafuliwa au nyie die hard wake mnaona ameonewa
I see........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom