Kijana kuwa Mwangalifu na mama huyu.

Babu Ubwete

Senior Member
Jan 26, 2008
169
29
Kuna jimama moja linapenda sana vijana na limeolewa na Pilot mmoja makazi yake ni pembezoni mwa Bahari ya Hindi. Anaambukiza ngoma makusudi kwa vijana, anakuazima magari mazuri uendeshe Range rover,Mercedes,Mark X etc. Anajiiita aka jiko la mbuzi kama ni mnywaji Utalewa kila siku lakini siku zako za kuvaa nepi zinakaribia vijana mjihadhari na mama huyu mwenye asili ya nchi ya jirani.
 
Hapa huwa tunaongea wazi babu ubwete, ila sio vizuri kutaja jina la mhusika moja kwa moja. Hata hivyo itapendeza tukimfahamu.
Tafadhali tueleze anapatikana eneo lipi/karibu na wapi/nini, mji upi, anajihusisha na nini au huwa anapendelea kuwa maeneo gani.
Asante kwa ushirikiano wako
 
ngoja niende hom kwa kushtukiza naweza gamea kufumania game nikikuta naua mtu leo
 
Hapa huwa tunaongea wazi babu ubwete, ila sio vizuri kutaja jina la mhusika moja kwa moja. Hata hivyo itapendeza tukimfahamu.
Tafadhali tueleze anapatikana eneo lipi/karibu na wapi/nini, mji upi, anajihusisha na nini au huwa anapendelea kuwa maeneo gani.
Asante kwa ushirikiano wako
Acha michepuko,baki njia kuu,hata ukimjua hakusaidii lolote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom