Kijana apiga mbizi kutekeleza agizo la Magufuli!

Kweli serikali legelege hasara yake ndiyo hiyo.
Inanigusa matukio km haya ambayo imekosa mwongozo.

People pleaser ... Ni ugonjwa!!

People pleaser, ni Kukosa nguvu ya upendo wa dhati wa kiuzazi na malezi wa kumkosoa na kumlea mtoto .... The Tough Love... Familia itategeneza majambazi na watoto hovyo kijamii na kitaifa.

Viongozi waliokosa TOUGH LOVE ... ni Viogozi wazembe, wanaodekeza na kukubali wanao na hatimaye wananchi wanao deka ... kwa cheaap popularity ....kwa kuwa hawana UTU unaoendana na UPENDO WA DHATI, UPENDO MKUU, UPENDO WA MZAZI anayemajali mtoto hata kama atapata maaumivu ya muda lakini lazima kumkosoa na kumpa miogozo hata kama ina maumivu kwa kuanzia.

Viongozi wote Tanzania ni people pleaser ... wako legelege ...hawna upendo wa kiuzazi, wanfanya timing za kihuni, sio wakweli ...

Wimpy People pleaser Leadership ...Has no different from a ruthless Dictator!!!!

Nani amtaje kiogozi mmoja mwenye UPNDO MKUU na nchii hii ... The Real Dad with Tough Love ...!!!!!! The Real President with Tough Love, The Real Ministers with tough Love ....

Without tough love we dont have a real family and we dont have a nation ....!!!

Ulege lege tuuu ...

Na familia ya namna hii inazalisha Majambazi, Madikteta, mzezeta ..kwani Taifa hili halina ..hao watu ... ?
 
Nikweli hapa nilipo kichwa kinaniuma sana, kwanini tumemkamata?? Yani najiuliza na kila mmoja wetu hapa anajiuliza kwanini tumemkamata? Lakini viongozi wetu wanasema afikishwe mbele ya sheria!

huyo atafikishwa mahakamani kwa kuwa kesi yake inafanana sana na mtu aliyetaka kujinyonga ikashindikana,so dogo atashitakiwa kwa kosa la kutaka kujitoa uhai.hakuna lingine na hii itatoa fundisho kwa wale wote waliokuwa na nia kama yake,hahahahahaha

kazi kwelikweli tz
 
kwahiyo mkuu hata ukipitia kongowe pia wana usalama watakukamata? mm naona hapo wanausalama au serikali mnajishushia hadhi, ile ni bahari kila mtu anaruhusiwa kubiga mbizi isitoshe mjomba magu ameshatoa ruksa.
 
Nikweli hapa nilipo kichwa kinaniuma sana, kwanini tumemkamata?? Yani najiuliza na kila mmoja wetu hapa anajiuliza kwanini tumemkamata? Lakini viongozi wetu wanasema afikishwe mbele ya sheria!

Kwa kosa lipi mkuu ?
 
huyo atafikishwa mahakamani kwa kuwa kesi yake inafanana sana na mtu aliyetaka kujinyonga ikashindikana,so dogo atashitakiwa kwa kosa la kutaka kujitoa uhai.hakuna lingine na hii itatoa fundisho kwa wale wote waliokuwa na nia kama yake,hahahahahaha

kazi kwelikweli tz
Heheeeheeeee
 
Ktk hali nisiyo amini, tumepokea taarifa za tukio lenye kufanana na la kigaidi pale feri, na tupofika amini usiamini tumekuta kijana anaekadiriwa kuwa na miaka 26 hivi, akiwa kituo kidogo cha polis kwa kutuhumiwa kuvuka kwa kuogelea,
Imeniwia vigumu sana kuamini, lakini nipo jaribu kumhoji akanimbia kuwa alikosa nauli ya shilingi 200 akaona bora apige mbizi kama agizo la magufuli lilivyo semwa!

Kutokana na taratibu za kiusalama imebidi tumchukue kwenda nae makao makuu kwa mahojiano zaidi!

owkkeyy kumbe we ni ndata!
 
Mbona huwa wanakatiza bahari? Siyo mara ya kwanza kwa wavuvi kukatiza bahari kutoka magogo to and from kigamboni. Mie sishangai kuogelea, nashangaa kukamatwa kisa umeogelea. Kwani alishindwa kuogelea wakamwokoa?
Kama amekamatwa wka ajilin ya kuogelea nawasahngaa sana hao polisi maana kila siku pale watu wanavuka kwa kuogelea
 
Mimi sintashangaa kusikia hili tukio! Mbona Basili Pesambili Mramba alivyowaambia Watanzania ikiwabidi hata kula Nyasi wale lakini ndege ya Raisi lazima inunuliwe na watu walikula Nyasi na ile ndege mbovu ikanunuliwa? Mnacheza na hii nchi!
 
Kama amekamatwa wka ajilin ya kuogelea nawasahngaa sana hao polisi maana kila siku pale watu wanavuka kwa kuogelea

Jamani hebu kuweni waelewa, hairuhusiwi kuogelea kwn njia ya meli. Hiyo ni by-law. Na kama mtu amekamatwa anapga mbizi, basi haina budi sheria ifuate mkondo wake! Over and out..
 
Nikweli hapa nilipo kichwa kinaniuma sana, kwanini tumemkamata?? Yani najiuliza na kila mmoja wetu hapa anajiuliza kwanini tumemkamata? Lakini viongozi wetu wanasema afikishwe mbele ya sheria!
sasa wewe ndio umempeleka makao makuu amevuja sheria ipi.? Itaje ipo kifungu kipi cha pcca au penal code. Mwacheni baharia huyo.
 
Nauli ya 200/- si kigezo cha kupiga mbizi eti kwa kushindwa kulipa. Mbona ubungo Terminal tunalipa 200/- ili uvuke geti kwa miguu yako. Wasafiri na wanawaunga mkono tutafakari zaidi!

Kwani hapa ubungo terminal ni lazima kuingia?kama sisafiri au sina 200 ninayemsindikiza si nitamuaga nje ya geti? na je vipi wale wanaokaaa kigamboni wanaokuja kutafuta riziki kila siku feri,hata ikiwa ni kwa kukwapua watu mfukoni,wana option ya kutokuvuka hapo kama hawana hiyo 200 na hasa ukizingatia shughuli zao wanafanya ng'ambo?offcourse ipo ni kwa kuogelea kama alivyoongea magufuli,je wote ni waogeleaji?
 
nauli ya 200/- si kigezo cha kupiga mbizi eti kwa kushindwa kulipa. Mbona ubungo terminal tunalipa 200/- ili uvuke geti kwa miguu yako. Wasafiri na wanawaunga mkono tutafakari zaidi!
kkuu kuingia ubungo nakuvuka kigamboni havihusiani, wakaazi wa kigamboni wanalazimika kupanda panton mara mbili kwa siku (kwenda na kurudi kazini) mtu wa ubungo unalipa 200/= kuingia nawakati wa kutoka hulipi ambayo ni sawa na tsh 100/= kuingia na mia kutoka.
Vile kwa mkazi wa dar anaingia ubungo mara ngapi? Na kama unaingia na tkt yako hulipii!
Kwa nini mnautumia mfano wa ubungo????
 
Hapo kwa RED, hizo tuhuma zatoka wapi? kwani Pombe hajatoa kibali? Na sidhani kama alikuwa amekunywa pombe! na kijana wa watu ametoa sababu ile ile ambayo kwayo Pombe alitoa Option mbili, aidha waogelee ama wakazunguke kongowe.
Hizo taratibu za kiusalama nyie polisi mngeanza kumhoji kwanza Pombe. Kama angekuwa alikunywa tungesema ulevi, but alikuwa fit tu!

najiuliza je na kongowe ukipita utakamatwa?
 
Nikweli hapa nilipo kichwa kinaniuma sana, kwanini tumemkamata?? Yani najiuliza na kila mmoja wetu hapa anajiuliza kwanini tumemkamata? Lakini viongozi wetu wanasema afikishwe mbele ya sheria!

Wewe ni nani? Mtasema huyu jamaa ameandamana ni mwanachama wa CDM! ......hahahaaa!
 
huyo atafikishwa mahakamani kwa kuwa kesi yake inafanana sana na mtu aliyetaka kujinyonga ikashindikana,so dogo atashitakiwa kwa kosa la kutaka kujitoa uhai.hakuna lingine na hii itatoa fundisho kwa wale wote waliokuwa na nia kama yake,hahahahahaha

kazi kwelikweli tz

kwa chuo gani cha sheria ulichopita?je waendao kuogelea MIKADI nao wanafanya kosa kama la huyo kijana?
 
Jamani hebu kuweni waelewa, hairuhusiwi kuogelea kwn njia ya meli. Hiyo ni by-law. Na kama mtu amekamatwa anapga mbizi, basi haina budi sheria ifuate mkondo wake! Over and out..

kwanin Magu alitoa wito?wakat ni kinyume cha sheria?na yeye ni msimamiz wa sheria?ova
 
Kama me huwa sicndkiz
kkuu kuingia ubungo nakuvuka kigamboni havihusiani, wakaazi wa kigamboni wanalazimika kupanda panton mara mbili kwa siku (kwenda na kurudi kazini) mtu wa ubungo unalipa 200/= kuingia nawakati wa kutoka hulipi ambayo ni sawa na tsh 100/= kuingia na mia kutoka.
Vile kwa mkazi wa dar anaingia ubungo mara ngapi? Na kama unaingia na tkt yako hulipii!
Kwa nini mnautumia mfano wa ubungo????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom