Kijana Anatafutwa (Amepotea)

Status
Not open for further replies.
Taarifa mbona haijitoshelezi.....
1. anaitwa nani
2. anasoma wapi darasa la ngapi
3. je ana akili timamu
4. ni mwenyeji wa wapi
5. ana umri gani
6. sababu ya kupotea/kutoroka kwake
7. maeneo ambayo aliwahi kutembelea kabla ya kupotea kwake
8. nk..........
 
Maelezo ni mafupi kweli, tafadhali toa maelezo kamili ili watu tuangalie kama watoto tulionao ndie huyo ama la, picha tu haitoshi, watafanana sura kumbe wako tofauti.
 
Mrs Eliud,unaiamini JF ndio maana umeleta hiyo taarifa,fuata mwongozo wa Mtambuzi kisha fanya editing ktk mada yako.Au umeswekwa lupango kuisaidia Polisi kutokana na manyanyaso uliyokuwa unamfanyia huyo kijana?
 
Taarifa mbona haijitoshelezi.....
1. anaitwa nani
2. anasoma wapi darasa la ngapi
3. je ana akili timamu
4. ni mwenyeji wa wapi
5. ana umri gani
6. sababu ya kupotea/kutoroka kwake
7. maeneo ambayo aliwahi kutembelea kabla ya kupotea kwake
8. nk..........

Alipotea akivaa nguo gani?
Mara ya mwisho alionekana wapi?
Ana magonjwa yoyote ya akili? yanayo hitaji tiba maalum (kifafa, asthma, etc)
Kuna hisia kua anaweza kua alitoroka (ili akipatikana wamkamate kwa kutumia mbinu)
Anaongea lugha gani?

Just give as much info as possible, atapatikana, inshallah!
 
Wasiliana na Wachungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima 0754 404705
 
Kama imani yako ni dini ya kiislam unachukua mshumaa unausomea suratul alamnashirah mara3, utaje jina lake mara3. Ikisha unauwsha kwa uwezo wa Mwenyei Mungu kabla ya kumalizika huo mshumaa atarudi. Iliwahi kunitokezea nilifanikiwa.
 
Kama imani yako ni dini ya kiislam unachukua mshumaa unausomea suratul alamnashirah mara3, utaje jina lake mara3. Ikisha unauwsha kwa uwezo wa Mwenyei Mungu kabla ya kumalizika huo mshumaa atarudi. Iliwahi kunitokezea nilifanikiwa.

Same org...Hapa kwenye mshumaa nadhani haihusiani na dua au kwakusema kwamba dini ya uisilamu hautambui mshumaa katika kuomba dua ila dua unaweza kuiomba wakati wowote au ndani ya sala.Kawaida mshumaa nimeona ukitumika katika dini nyingine na sio katika uisilamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom