Kijana Anatafutwa (Amepotea)

Mrs Eliud

Member
Nov 21, 2010
11
2
Tumaini.jpg
Kijana Amepotea Atakaye bahatika kumuona Atujulishe kwa mawasiliano yafuatayo:



  1. 0759 013570
  2. 0754 401806
  3. 0782367288
 

Attachments

  • Tmain20001.pdf
    215.9 KB · Views: 167
  • Tumain 30001.pdf
    206.6 KB · Views: 83
  • Tumain0001.pdf
    205.6 KB · Views: 72
View attachment 63371
Mwenye picha hiyo hapo kwenye attachment ni kijana wa kwanza wa ndugu Cornel Mujungu anayefanyia kazi Kasulu.
Kijana huyo ametoroka kwao katika mazingira ya kutatanisha tangu jana tarehe 29/08/2012 alipomuaga mdogo wake wa miaka kumi na moja kuwa anaenda Moshi, ambako hakujui tena hakuwa na pesa yoyote kulingana na mazingira ya nyumbani kwao yalivyo kwani hakuna access yoyote ya kupata kiasi cha pesa kiasi cha kumsafirisha hadi Moshi bila ruhusa ya wazazi wake.
Lakini pia kijana huyo Tumaini Cornel Mujungu anao umri wa miaka kumi na mitano na anasoma Kidato cha kwanza katika shule ya secondary ya Rev. A. Bungwa iliyoko mjini Kasulu wanakoishi wazazi wake na kwa kipindi hiki alikuwa likizo hadi tarehe 11/09/2012 wanapotarajia kufungua shule hiyo.
Kwa hiyo ndugu zangu naomba wanajamii wenzangu popote mtakapomuona au kusikia habari zake naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo:
+255 754 401806
+255 782 367288
+255 755 094760
+255 789 179294
+255 754 622023.
Nashukuru wanajamii kwa kushirikiana katika hili.
Mbarikiwe sana
 
Mrs Eliud nimekusaidia kuku-postia picha zako ulizoweka katika format ya .pdf

attachment.php
 

Attachments

  • tumaini_JF_1.jpg
    tumaini_JF_1.jpg
    33.5 KB · Views: 2,142
  • tumaini_JF_2.jpg
    tumaini_JF_2.jpg
    43.5 KB · Views: 2,150
Poleni sana, anaumwa, aligombana na wazazi au?

Moshi kuna ndugu yoyote?
 
Poleni sana wanafamilia! Lakini pia msiache kufuatilia hata maeneo ya machimboni kama Mirerani na kwingineko kwakua vijana wa sasa wanatafuta utajiri wa haraka haraka sana!
 
Nini chanzo cha huyu mtoto kutoroka kwao?
Alikuwa ana mahusiano gani na wazazi wake?
Kwanini kaamua kwenda moshi na sio kwingineko??
 
Back
Top Bottom