Kijana anahitaji msaada wa kazi!

nyaggad

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,160
692
Habari,wakuu kuna mdogo wangu anaelimu ya kidato cha sita anahitaji kazi yoyote ile,ili aweze kujikimu mahitaji yake ni kijana mchapakazi na makini,Hata kama atalipwa laki na nusu hana shida kwa mawasiliano mtafute number 0762508455.
 
hizi kazi jaman hurma kwa kwer du na mimi nitkuja kuomba wk 2 zijazo
 
Habari,wakuu kuna mdogo wangu anaelimu ya kidato cha sita anahitaji kazi yoyote ile,ili aweze kujikimu mahitaji yake ni kijana mchapakazi na makini,Hata kama atalipwa laki na nusu hana shida kwa mawasiliano mtafute number 0762508455.
Yupo mkoa gani?
 
Mkuu tupo wengi tunaotafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita..pia ndo naingia chuo 0624055251
Ajira ni changamoto kwa wengi rafiki, Nitafte pia tuzungumze nadhan muafaka utapatikana maana pia una ratiba ya kwenda chuo 0688462006. Nipo busy kidgo in case nikachelewa ku respond.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom