kijana aliyetuhumiwa kwa kosa la kumteka dk urimboka na jaribio la kuua aachiwiwa

kavishe paul

New Member
Jul 21, 2012
2
0
kijana mmoja anayetambulika kwa jina la dindayi sayi alikamatwa mkoani kahama na makachero wa polisi kwa tuhuma za kumteka dk. ulimboka na jaribio la kuua amepewa zamana na polis wa kituo cha kati centre police baada ya kutoa hongo ya milioni mbili ili asifikishwe mahakamani kijana huyo ambaye amekutwa na bastora isiyo ya halali kwa sasa yuko nje kwa zamana ya police
 
Back
Top Bottom