Kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga arejea toka India

attachment.php
 
ni kweli,tujue mbivu na mbichi.ni nini hasa kilitokea.nani Hasa alihusika katika hujuma hii?
 
Sababu inayoweza kuhalalisha kitendo hicho ni kama mhanga alikuwa anataka kukutoa roho yako. Ni ukatili mkubwa sana, hasa unapofanyika kwa sbabu ya watu kutaka uongozi. Pole sana kijana nimesononeshwa sana na hiyo picha. Shukrani kwako Mchemba pia kufuatilia matibabu ya huyo kijana huo ndio utu na udini wa kweli ubarikiwe kwa hilo.....................
 
Back
Top Bottom