Kijambo cha wiki, Mlimani Tv

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Hello bandugu,
Kati ya vipindi ambavyo huwa sijutii kuviangalia ni KIJAMBO CHA WIKI kinachorusha na Mlimani Tv, huwa kinaandaliwa kwa ustadi mkubwa na Elbert Mkoko, labda tu nichukue fursa hii kumpongeza kwa ubunifu wake. Hongera sana

Mlimani Tv
ELIMU KWANZA
 
si kila mtu anaangalia mlimani tv, hivyo no bora ungeeleza kulikuwa na nini? otherwise, the thread will be useless here
 
Back
Top Bottom