Kijaka Kimbiji Kigamboni nisaidieni

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Wakuu natumai muu wazima.

Naleta hili ombi kwenu mnisaidie mawazo nisije kuta naingizwa mkenge...

Kuna mtu anataka kuniuzia plot ambayo iko kwenye hatua za mwisho kuwa surveyed michoro nimeiona lilikuwa ni shamba sasa ameamua kulifanyia survey na kuliuza hebu nisaidieni kimawazo zaidi kuna kipindi cha nyuma niliona kwenye TV wananchi wa huko kimbiji wakiilalamikia serikali kunyanganywa maeneo yao Je kuna mtu yeyote hapa anajua vizuri kuhusu haya maeneo ya Kijaka Kimbiji kigamboni na ni kilometer ngapi kutoka ferry naomba mnishauri kabla sijakinunua.

Asante nawakilisha...
 
Kimbiji ni kama 30kms toka Ferry. Ni vyema ukawasiliana na Mwenyekiti wa Serikali wa mtaa ili kupata uthibitisho. Kuna baadhi ya maeneo yametwaliwa na Jeshi na wananchi wa skies wakiuza kwa tamaa. Kama ni surveyed akuonyeshe hati zake. Wasiliana na Mwenyekiti wa mtaa 0714132993. Kila la heri
 
asante mkuu nampigia ila hapa kwenye hii survey map bado haina plot number wala block number lakini asante ngoja nimjaribu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom