Kiitikio au chorus ipi ya Juma Nature uliipenda sana?

Wanaburudani habari zenu,
Mziki wetu kuna vionjo fulan vya zaman vinakosekana,
Hasa kwenye kiitikio ungemkuta dully Sykes, nature au q chief
Hebu tuanze na juma nature,
1. Radhia
2. Mzee wa busara
3. Ya Leo Kali
4. Ofisi miguu . manzese crue
5. Mamy
6. Narudi kijijini
7. Demu simwelewi
8. Niaje hatupatani
9. Inaniuma sana
10.kamua
11. Zari la mentali
12. Dance with me
13. Sonia
14. Akwelina
15. Aa wapi by nature
Je ni kiitikio gan alikaa sawa, hebu tupia hapa ngoma moja ya nature kibra msitu wa vina

PLEASE UPLOAD MUSIC AMBAO CHORUS ULIIPENDA HAPA
Kwenye Simuelewi chorus aliimba Josylin..Nature alipewa verse tu!!
 
Nampenda ya Mike tee ilikuwa hatari ukisikiliza kwa mapepe unaweza kudhani ni mtoto wa kike
 
Back
Top Bottom